Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

Kama Bala alivyodadavua, ni kweli jana game lilituelemea,tulipoteana vibaya mno Simba walitawala kwa sehemu kumwa..Pongezi mtani asavali mboko zimepungua manake Rage angewajua vizuri wanamsimbazi...
 
wana jamvi naomba matokeo ya mechi kati ya yanga na simba maana nimekutana basi la yanga linaenda bungeni sasa sijajua ni kwenda kupongezwa au kufarijiwa, ni hayo
 
wana jamvi naomba matokeo ya mechi kati ya yanga na simba maana nimekutana basi la yanga linaenda bungeni sasa sijajua ni kwenda kupongezwa au kufarijiwa, ni hayo

Utajibeba! Bungeni mnyama hawezi kuingia......kombe la mbuzi kwenye bunge TUKUTU likafanye nini?? Mimi nilidhani mmekwenda kuling'oa lile bango pale Makumbusho!! Lol.
 
mashabiki wa simba waliwakejeri yanga kwa kushangilia ccm x3 wakiwa na maana yanga mara nyingi hubebwa tofauti na simba hivyo huifananisha na chama cha magamba
 
Utajibeba! Bungeni mnyama hawezi kuingia......kombe la mbuzi kwenye bunge TUKUTU likafanye nini?? Mimi nilidhani mmekwenda kuling'oa lile bango pale Makumbusho!! Lol.
nimeshajua nani kapakatwa jana ni yanga...jaribuni tena mwezi wa kumi
 
Nakubali yanga kapakatwa JANA TU, lakini simba tunampakata kila siku hapa Makumbusha na kwingineko! Tehe!
 
Nakubali yanga kapakatwa JANA TU, lakini simba tunampakata kila siku hapa Makumbusha na kwingineko! Tehe!
kama ni mshabiki au mpenzi wa takwimu hebu anzia mwaka 2001 mpaka leo halafu uje na matokeo..haha hahahaha pole sana yebo yebo
 
kama ni mshabiki au mpenzi wa takwimu hebu anzia mwaka 2001 mpaka leo halafu uje na matokeo..haha hahahaha pole sana yebo yebo

Kwanini tuanzia 2001 wakati timu zimeanzishwa 1930's? Tuanzia huko basi! Kipofu kaona mwezi na kombe lake la mbuzi!
 
Kwanini tuanzia 2001 wakati timu zimeanzishwa 1930's? Tuanzia huko basi! Kipofu kaona mwezi na kombe lake la mbuzi!

Vijana wengi ndio walikuwa wanaanza ushabiki wa mpira kipindi hiki cha miaka ya 2000 mwanzoni. Uliza umri wake kwanza.
 
Kaka, masuala ya siasa ukiyaingiza ktk sport maisha yako utayavuruga kabisa.
Hakuna cha kuihusisha Yanga na CCM zaidi ya rangi zao kufanana.
Sitta, Zitto Kabwe ni Simba damu lakin wanaelewa kutofautisha siasa na sports. Mpira ni burudani, sio kama siasa. Stress za siasa zisihamaishiwe ktk michezo. Hata ukiangalia maana na malengo halisi ya Sports ni kuleta amani ktk jamii na kuboresha afya za binadamu, ingawaje sasa ni sehemu ya ajira.
kama vile JK na MBOWE wote YANGA lakini katika siasa wapo tofauti
 
Panua akili yako, ona mbele zaidi. Kila mtu anasema, na hata Chadema na CUF wanakiri waziwazi kwamba CCM ya Mwalimu J.K. Nyerere ilikuwa na maadili ya uadilifu wa hali ya juu. Hii ndio sababu ya Yanga kuimba CCM, CCM kutokana na uadilifu huo.
Au la, wewe utakuwa ni mtoto wa miaka ishirini na kitu, ndio maana unaongea hivi.
Yanga wanashangilia hivyo tangu miaka ya 70, na sasa imekuwa kama mazoea tu
Wewe ndio unatakiwa upanue akili yako vizuri, jiulize ni kwa nini club ya Yanga imejengwa na Karume, halafu uwanja unaitwa Kaunda? wewe hakuna unachokifahamu.
Yanga ni club ya Freedom fighters, na mipango yote ilikuwa inapangiwa Jangwani kwa kimvuli cha kujifanya wapo kwenye mambo ya michezo.
 
Tatizo watu kila kitu Nyerere au CCM, Mkitaka kujuwa haswa ukweli wa Yanga mie si mshabiki wa Yanga ila kamtafuteni Familia ya Mzee Mangara ndio utajuwa mzizi wa Yanga ulianzia wapi? na Nyuma kabisa ya kuhusu CCM japo wengi wana Link na CCM, na hapo utapopata Stori za Mangara ndio utaona na Bakharesa anavyoingia kwenye Stori kuhusu utajiri wake alivyoupata.... na Pan African ilivyoundwa kila kitu hapo. mpaka makaratasi mtaoneshwa, haya ni sawa na Serikali na watu wafataji mkumbo wanapoanzia kila kitu kwa Nyerere na Kumfunika ukweli wa Bibi Titi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom