Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

Nielewesheni, hivi hiyo pesa inayopatikana kwenye hiyo mechi itapelekwa wapi?
 
Poulsen aja amtezame boban alafu wakashauriana na kayuni kama anafaa au hafaai,kayuni anaiharibu tff na kumuweka poulsen pabaya kwa chuki zake zisizo na lazima ana wivu kama mtt wa kike
 
Poulsen aja amtezame boban alafu wakashauriana na kayuni kama anafaa au hafaai,kayuni anaiharibu tff na kumuweka poulsen pabaya kwa chuki zake zisizo na lazima ana wivu kama mtt wa kike
<br />
<br />
Mkuu umesema jambo la maana lakini nina wasi wasi huenda Poulsen tayari yuko kwao.
 
Lakini kuna thread hapa JF inasema Yanga wamechomoa hawatapeleka timu baada ya TFF kushindwa kuwalipa pesa za ligi iliyopita zaidi ya mil 18 au wanatuzunga tu.......
 
kwani poulsen ana kiwango cha kuifundisha timu ya taifa?Naona angepewa kuifundisha MILAMBO Tabora angalau ingemfaa.Akawafundishe hata butua-butua kiubishibishi
 
kumbukeni tokeo na mechi nzma wengine tunaitegemea hapa hapa kwenye JF,make 2po mikoan na ngeleja ana magumash ya umeme wake,
 
kwani mpira huchezwa uwanjani au mdomoni?Km huchezwa mdomoni hao wauza madafu wa jangwani washa'shinda tayari.
 
Hapa ishu ni mgawanyiko wa umeme,kwa mwendo wa saa5 ucku wengi tutakuwa tunaitizama huku tumewasha vikoroboi...Mungu wa Israeli!
 
Mlioko uwanjani tupeni basi kwa kuanzia updates za mechi ya utangulizi ya Simba B versus Yanga B,. inayoanza saa 10:30 jioni!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom