Ney Wa Mitego You are The True Son Of Your Father. Kwenye hii ngoma yako mpya " Bachelor" umeweza sana kaka. Hakuna swali.

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,257
27,602
Kwenye hii ngoma yako kama ingekuwa ni demu basi ni Beyonce Knowles. Na kama ingekuwa mchezaji wa mpira wa miguu basi ni Said Mwamba Kizota au Haruna Moshi Boban.

A very catchy melody . Ni aina ya wimbo ambao hata ukiusikia kwa mara ya kwanza unakukumbusha sehemu ambayo huikumbuki. Yani kama vile ulishawahi kuisikia kwenye maisha yako yaliyo pita ( Kabla hujazaliwa )

So far huu ndio wimbo bora kabisa ndani ya mwaka huu 2024. Mpaka sasa hivi nimesha usikiliza zaidi ya mara ishirini.


View: https://www.youtube.com/watch?v=ang5agP3dJo
 
Back
Top Bottom