Ney wa Mitego Vs Sinta aka JLO

huyu demu eti anasemaga "mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe"...na yeye ndio J Lo wa Tz!
sijamuelewa!
 
Sinta anakosea sana, maneno anayotumia sio sahihi kwa mtu kama yeye na wa hiyo status anayoing'ang'ania.

Sijui nani kati yao ndio mchokozi lakini nachojua Ney Wa Mitego haogopagi kuongea, Sinta anaeza akaaibika.

Weza ikawa ni ile nyimbo mpya ya Ney ndio imemchefua Sinta
 
Kama kuaibika, Sintah ameaibika sana labda ashtuke sasa kv amekuwa matured! Kuna kuaibika, zaidi ya kutungiwa nyimbo 2, tena zilizoshika, wakati huo Mwanakiumeni Nature akiwa na status ya platinum kwa hapa EA! Magazeti ya Udaku yote, yalikuwa hayauzi pasipo na scandal ya Sintah....enzi hizo, ni Sugu tu ndie alikuwa anafahamika; nazani hata Zitto bado alikuwa kwao muuza dagaa!
 
Kumbe dada kaanza Long!
Ndio maana siku hizi anajinyenvua nyemvua...
 
Kakako TID anamind watu kujiita wanyama!!full kutimba wanyama na masingle button ya kadinda anasema yeye hawezi kuvaa vitambaa vya macarpet!hahhahah!!rich mavoko angekuwa ana sura ya mamake angeteka jiji!dogo anajua sana!halafu anapita mulemule kama domo!

...Nadhani hata sherehe za nane nane tunawasherehekea hao wanaojiita 'majembe' na 'wanyama' kama T.I.D maana wanaleta tafsiri nzuri ya 'sikukuu ya wakulima na wafugaji'
 
..Nay na Sintah wote hawajielewi, nadhani huyo Zamaradi ndo anawagombanisha na kwa kutokujielewa kwao wamekubali kugombanishwa.
 
...Nadhani hata sherehe za nane nane tunawasherehekea hao wanaojiita 'majembe' na 'wanyama' kama T.I.D maana wanaleta tafsiri nzuri ya 'sikukuu ya wakulima na wafugaji'
ukijifanya jembe watu wanakuchomekea MPINI si unajua jembe bila MPINI halifanyi kazi haya Sasa kazi kwenu "majembe"

Similar Discussions

Back
Top Bottom