Ney wa Mitego Vs Sinta aka JLO

Nipeni jina la hiyo blog ya Sinta jamani hata kwakuniPM, naona blog zimekuwa nguzo za kuwarudisha ulingoni waliopotea

Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
 
Unanyama Unyamani,Nyimamadogookumanga!
Kakako TID anamind watu kujiita wanyama!!full kutimba wanyama na masingle button ya kadinda anasema yeye hawezi kuvaa vitambaa vya macarpet!hahhahah!!rich mavoko angekuwa ana sura ya mamake angeteka jiji!dogo anajua sana!halafu anapita mulemule kama domo!
 
Vipi nawewe unatafuta umaarufu kupitia hao nini? Wakubali hata kama huwapendi wenzio wametumia vipaji vyao kujitangaza.
Jamani kwani nimesema nawachukia? Nimeuliza tu niwajue.
Ndo kina nani hao suzie?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kakako TID anamind watu kujiita wanyama!!full kutimba wanyama na masingle button ya kadinda anasema yeye hawezi kuvaa vitambaa vya macarpet!hahhahah!!rich mavoko angekuwa ana sura ya mamake angeteka jiji!dogo anajua sana!halafu anapita mulemule kama domo!

kweli domo anafanana na mama yake na mama yake domo anafanana na baba yake!
 
Kakako TID anamind watu kujiita wanyama!!full kutimba wanyama na masingle button ya kadinda anasema yeye hawezi kuvaa vitambaa vya macarpet!hahhahah!!rich mavoko angekuwa ana sura ya mamake angeteka jiji!dogo anajua sana!halafu anapita mulemule kama domo!

Haaa TID anaua sana kwenye media ila namkubali sana Stamina,country boy na Suma mnazaleti style zao bomba sana!! Mavoko nyago aliuziki.
 
sasa hao uliowataja nao ni wasanii!!!???si bora ata ya Mavoko!

Uyo Stamina sijawai kumkubali ata,msanii lazima uwe na utamu sio mistari kama ngonjera...country boy amshukuru sana braza ake seydou ndio anaempush ila ni msanii wa kutengeneza...Suma kisauti hadi Lunduno walimfukuza hana mashairi wala mitambao ya kueleweka.
 
Kakako TID anamind watu kujiita wanyama!!full kutimba wanyama na masingle button ya kadinda anasema yeye hawezi kuvaa vitambaa vya macarpet!hahhahah!!rich mavoko angekuwa ana sura ya mamake angeteka jiji!dogo anajua sana!halafu anapita mulemule kama domo!

Rich Mavoko anaweza..namkubali ata mimi.
 
sasa hao uliowataja nao ni wasanii!!!???si bora ata ya Mavoko!

Uyo Stamina sijawai kumkubali ata,msanii lazima uwe na utamu sio mistari kama ngonjera...country boy amshukuru sana braza ake seydou ndio anaempush ila ni msanii wa kutengeneza...Suma kisauti hadi Lunduno walimfukuza hana mashairi wala mitambao ya kueleweka.

Mastomach umewabomoa sana dah!inabidi nifawanyie tathmini kama wanajua au ndo walewale kama sura ya kizee roma na style yake ya kupayuka kama kondakta na kutajataja majina!
 
sasa hao uliowataja nao ni wasanii!!!???si bora ata ya Mavoko!

Uyo Stamina sijawai kumkubali ata,msanii lazima uwe na utamu sio mistari kama ngonjera...country boy amshukuru sana braza ake seydou ndio anaempush ila ni msanii wa kutengeneza...Suma kisauti hadi Lunduno walimfukuza hana mashairi wala mitambao ya kueleweka.

Mnyama unatisha nakukubali downtown kitambo!
 
Preta nipo shostito na mimi nimekumithijeee nikajua umehamia sijui Dubai au Miami lol!!!!

nimehamia Miami shogangu.......kuna top nimeiona Neiman Marcus nataka nikutumie.......watakukomajeeeee......
 
acha umang'aa chali wangu cha ajabu nini kwana wao wamekuwa YESU na mama yake mariam kila mtu awajue hata mim huyo wa mitego cmjui.

hata mi nawashangaa wanakasirika kutomjua ney kwani ye kawa nani, angekuwa amebandikwa kwenye shiling hapo sawa eeh et ney wa mitego hata mie simjui ni mwanamke au mwanaume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom