Ney wa Mitego Vs Sinta aka JLO

Pwito

Senior Member
Mar 28, 2012
179
39
Leo nimeingia kwenye blog ya Sinta nimekuta ameweka picha ya Ney akiwa amejisexisha maana jamaa anauza muscles na boxer. Cha kunishangaza naona maneno yaliyoisindikiza ni kumchana. Sijui wamemwagana au wamekopana maana hata hasomeki blogger mwenyewe. Embu wakuu mwenye sembe atumwagie maana wengine tunataka tukauze mashigongo yetu (magazeti ya udaku)
 
Ndo kina nani hao??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Acha ukomedi bhana najua utakuwa haumjui Ney wa Mitego sababu wewe ni wa shamba ila Sinta alishakuwa maarufu hata kabla JK hajawa maarufu, tofauti na sasa zamani za biashara huria hasa ya Televisheni ilipoingia nchini wengi kuanzia vibibi mpaka vichanga tuliangalia hii michezo na Sinta alikuwa kati ya vinara.
 
kwani ney alikuwa anakula mzigo?tufahamishane jamani?

Hata mi nahisi maana Sinta na Wema Sepetu hawachekani tabia zao akikupenda dunia yote itajua akikubwaga ndo usiseme utatafuta pakujificha
 
Vipi nawewe unatafuta umaarufu kupitia hao nini? Wakubali hata kama huwapendi wenzio wametumia vipaji vyao kujitangaza.

Hata mimi namshangaa analeta sanaa hapa. Ila tumsamehe watanzania hatupendani kabisa
 
Si bure washavurugana hao. Haya tupe site ya hiyo blog tukasome tukuletee majibu siye. Kwani Sinta alifiaga wapi na kaibukia wapi? Yupo kweli?

Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
 
Vipi nawewe unatafuta umaarufu kupitia hao nini? Wakubali hata kama huwapendi wenzio wametumia vipaji vyao kujitangaza.

acha umang'aa chali wangu cha ajabu nini kwana wao wamekuwa YESU na mama yake mariam kila mtu awajue hata mim huyo wa mitego cmjui.
 
Hata mimi namshangaa analeta sanaa hapa. Ila tumsamehe watanzania hatupendani kabisa

"Analeta usanii kwenye jumba la sanaa,wasanii tunashangaa akiinuka si tunakaa akipotea kwetu furaha adui mwombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama alikua shujaa"
 
Vipi nawewe unatafuta umaarufu kupitia hao nini? Wakubali hata kama huwapendi wenzio wametumia vipaji vyao kujitangaza.

Suzie mambo....? umepotea sana shoga angu....kulikoni.....?
 
Mi namfaham wa Mitego tu,kwani Sinta ndo nani?Mwanasiasa au msanii?

#Via wabongo kwa kupotezeana hatujambo
 
Ni ktk kindi cha take1 cha Clouds TV, Ney alihojiwa na Zamaradi kuhusu mashairi ya Ngoma yake mpya yanayosema ,"Makahaba wa kiwango cha juu wapo Bongo movie", hapo alitakiwa kuthibitisha alichokisema ndipo alipowataja mastaa watatu ambao walimfanya kugundua kuwa huko kuna ukahaba, mwisho akamalizia kuwa wasichana wafanye movie na sio ukahaba maana watapotea machoni mwa watu kwa muda mfupi tu kama ilivyokua kwa SINTA. Hicho ndicho nilichokisikia mimi.
 
hee kumbe,hao wawili wengine ni wakina nani?
 
acha umang'aa chali wangu cha ajabu nini kwana wao wamekuwa YESU na mama yake mariam kila mtu awajue hata mim huyo wa mitego cmjui.

Mbona inaeleweka hii, yaani inakuuma kuwapa credit mastar wa bongo wakati ukiwa umejipumzisha home kwako unajiburudisha na bongo fleva. Au hizo bongo fleva zimepigwa na kina Jigga na 50cents? Au ndo nyie mnamawazo kama kuwa star mpaka uwe mijihela? Tafuta definition ya celebrity au star ndo uje unicritisize zaidi ya hapo hata Matonya Star
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom