Ney wa Mitego: JB naye ni kicheche kama Wema Sepetu na Aunt Ezekiel

huyu jamaa ana jinsia ya kiume lakini ana tabia za kike.. kila siku kusutana na kuwasema wenzake, mi nadhani taarabu ingempendeza zaidi kuliko HIP HOP na angewika mno maana vijembe anavifahamu.

Kwa mtazamo ney hana cha kuimba na hana pa kupatia umaarufu icipokuwa kupitia migongo ya watu flani flani, kama kshafulia akauze chips hukooo! Mbna ye tunackia kbogaaaa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom