New York Times wamsifu Babu wa Loliondo

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054

Crowds Come Over Roads and by Helicopters for Tanzanian's Cure-All Potion

By JEFFREY GETTLEMAN

Published: March 28, 2011

- He's a sensation in two countries. He's snarled traffic for miles. He's so popular that people have literally died waiting in line to see him.

Ambilikile Mwasapile, a 76-year-old retired pastor in rural Tanzania, has been offering a herbal concoction that he bills as a miracle potion that can cure just about any illness. In the past few weeks, tens of thousands of sick people have scrambled for a sip of his homebrewed drink. Some, apparently, have even flown in by helicopter.

On Monday, Tanzanian officials said that several dozen elderly and sick people had recently paid the price for joining the throngs.

"They died from the long queues," said Isidore Shirima, a local official in Arusha, a town popular with tourists about six hours' drive from the pastor's village. "We're not going to stop this, but we want to organize it better."

MBONA SOURCE INAONESHA HIYO HABARI IMEANDIKWA KWENYE BLOG (jesusisthelord4all.blogs...).

KAMA NI TRUE STORY KWENYE N.Y TIMES WHY HUJATUWEKEA LINK DIRECT FROM NYTIMES DOT COM???
 
[URL="http://www.nytimes.com/"] [/URL]

Africa

Crowds Come Over Roads and by Helicopters for Tanzanian’s Cure-All Potion
By JEFFREY GETTLEMAN

Published: March 28, 2011

NAIROBI, Kenya — He’s a sensation in two countries. He’s snarled traffic for miles. He’s so popular that people have literally died waiting in line to see him.
Ambilikile Mwasapile, a 76-year-old retired pastor in rural Tanzania, has been offering a herbal concoction that he bills as a miracle potion that can cure just about any illness. In the past few weeks, tens of thousands of sick people have scrambled for a sip of his homebrewed drink. Some, apparently, have even flown in by helicopter.
On Monday, Tanzanian officials said that several dozen elderly and sick people had recently paid the price for joining the throngs.
“They died from the long queues,” said Isidore Shirima, a local official in Arusha, a town popular with tourists about six hours’ drive from the pastor’s village. “We’re not going to stop this, but we want to organize it better.”
Mr. Mwasapile, a former Lutheran preacher, lives in Samunge, a village in the middle of the savannah near the Kenya-Tanzania border. He began administering his miracle potion several months ago, and charges about 30 cents a cup. He says it can cure AIDS, cancer, diabetes, high blood pressure — you name it.
According to The Daily Nation, Kenya’s largest newspaper, Tanzanian officials have tested the herbs in the concoction and have verified that it is safe to drink. Mr. Mwasapile even has a Facebook page, listed under “Doctor, Arusha, Tanzania.”
Traditional healers are not considered fringe elements here. Sometimes, their teachings take macabre directions. In Tanzania, so many people believe, for example, that the body parts of albinos carry good luck, that dozens of albino people have been killed by thugs, who then sell their bones, hair and skin for thousands of dollars.
Mr. Mwasapile’s village is remote, with no good roads, and is hard to reach from any sizable town. It can take people from either side of the border days to reach him, with the elderly and sick camping out under trees on the way.
He issued a statement over the weekend saying that he planned to halt new arrivals to his village for a week, until he could serve everyone who was already camped out there.
Esther Lally, a recent college graduate living in Arusha, said she saw helicopters landing in the bush ferrying Tanzanian politicians to the village. She said that the potion worked.
“It’s all about faith,” said Mrs. Lally, who drank it herself two weeks ago. “If you believe that this works, it works. I saw many people there who had gotten better.”
Mrs. Lally wanted the potion to cure her ulcers, and she said she was already feeling better.
She said the drink “tastes like tea, without the sugar.”

A version of this article appeared in print on March 29, 2011, on page A4 of the New York edition.

http://www.nytimes.com/2011/03/29/world/africa/29potion.html?_r=1

Connect with The New York Times on Facebook.
 
Hizi lugha za watu hizi, mtu anaweza kukutukana katika satire ukabaki unakenua meno unafikiri unasifiwa. Beware of backhanded compliments.

Ukiisoma article nzima utaona wWabongo tumepigwa dongo kichizi kwa kuendekeza sensationalism.
 
MBONA SOURCE INAONESHA HIYO HABARI IMEANDIKWA KWENYE BLOG (jesusisthelord4all.blogs...).

KAMA NI TRUE STORY KWENYE N.Y TIMES WHY HUJATUWEKEA LINK DIRECT FROM NYTIMES DOT COM???

Ukiingia kwenye hiyo link aliyoiweka nadhani hutaona sababu ya comment uliyotoa
 
Hizi lugha za watu hizi, mtu anaweza kukutukana katika satire ukabaki unakenua meno unafikiri unasifiwa. Beware of backhanded compliments.

Ukiisoma article nzima utaona wWabongo tumepigwa dongo kichizi kwa kuendekeza sensationalism.

nakubaliana na wewe kiranga, hapa tumetukanwa tena matusi ya nguoni. lakini wanasema kweli. sasa tanzania ni npopular kwa imani za kishirikina huenda kuliko hata kwa utalii! na labda kupita nchi nyingine yoyote katika ukanda huu. hiyo ndiyo maana ya jumla ya hii article .

sishangai watu wanaoisifia article eti imemsifu babu, kumbe imeitukana tanzani! kwani wote hawa ndio wanaomshabikia babu na wengi wao tayari wamekunywa kikombe na bado baadhi wanfanya biashara na kutengeneza pesa in connection with babu's business. hakika haya ni matokeo ya uvivu tu wa kutafakari.

hebu wapendwa tafakarini kwa utulivu hapo kwenye kipande nilichokiquote hapo chini kutoka kwenye hiyo article halafu mniambie great thnker yeyote wa ukweli akisoma ataelewaje?

Traditional healers are not considered fringe elements here. Sometimes, their teachings take macabre directions. In Tanzania, so many people believe, for example, that the body parts of albinos carry good luck, that dozens of albino people have been killed by thugs, who then sell their bones, hair and skin for thousands of dollars.

naye alipoinuliwa juu ya nchi,
alituvuta wote kwake
 
MBONA SOURCE INAONESHA HIYO HABARI IMEANDIKWA KWENYE BLOG (jesusisthelord4all.blogs...).

KAMA NI TRUE STORY KWENYE N.Y TIMES WHY HUJATUWEKEA LINK DIRECT FROM NYTIMES DOT COM???

Mkuu mbona hata wewe unaisoma katika forum? Ni mifumo tu mbalimbali ya kupashana habari,ndo maana mtoa thread alitaja chanzo ili ukitaka zaidi uchungulie huko sio kumuuliza yeye tena
 
Hivi katika watu waliopata tiba 100,000 (tunaambiwa amekusanya milion 50!) tunashindwaje kujua ukweli (inaponya au haiponyi) kuhusu hiyo dawa? Kwa idadi hii ya watu, suala hili halikupaswa kuendelea kuwa suala la imani kuwa 'dawa inaponya'! If indeed the Pastor is a conman, how on earth can 100,000 people get conned so easily? Surely, there is something missing!

Hakuna volunteers? Kwa magonjwa kama kisukari hatuhitaji muda mwingi kujua kama dawa inafanya kazi au la......naweza kuelewa kwenye suala la HIV.
 
Nadhani wingi wa watu sio hoja, it just shows that people are really desperate of healing regardless of their status. Uzuri wa mambo ya Mungu hayapimwi na idadi ya watu bali hupimwa na neno lake. Let us be patient, time will tell.
 
The headline is misleading. For a newspaper to praise Babu, they would have to write an editorial or an op-ed about him. This was simply a straightforward reporting of what is happening with Babu without the said sifa.
 
Nafikiri taito ingekuwa NY Times waiponda TZ kwa imani za kishirikina. Yaani kwa mawazo yako wewe Error 404 umeona Babu kasifiwa? Duh, ama kweli safari tunayo, tena ndeefu saana!
 
Whatever Ny says about TZ tunajali ushirikina, mbona wao pia wanajali sana huo ushirikia au kwa vile wamatumia majina mengine kwenye huo ushirikina????
 
Whatever Ny says about TZ tunajali ushirikina, mbona wao pia wanajali sana huo ushirikia au kwa vile wamatumia majina mengine kwenye huo ushirikina????
MR, haikusaidii kitu kujitetea kihivyo, eti "mbona wao wanajali sana..." Uh!
 
Babu sasa yupo mpaka New York Times, hivi shehe yahaya na yeye alisha-semwa na NY Times?

Una maana gani? Soma kwanza hiyo link yenye artcle ya Babu sio kukurupuka tu kuhusu Mnajimu Yahya Hussein na sio Sheikh Yahya koma kutumia jina la Sheikh hujui maana yake Kama yeye kachakachua Jina na hadhi ya Sheikh wewe usije kumlingania na Babu yako wa samunge tunachafuliwa na vyombo vyote vya habari vikubwa Dunia ABC News BBC na NYTimes bado kuna kuna watu wanaona sifa Babu kaandikwa na Mnajimu hajawahi kuandikwa Kaa ukijuwa anachofanya Mnajimu Yahya huku Canada jimo la Quebec pekee yake wapo zaidi ya ishirini na Maarufu kuliko wa huko bongo ni elimu tu ya Astrology si laZima uwe Muslim ni ajabu kumuona yahya hussein akihusishwa na hadhi na utaratibu wa kislam japo ni muislam lakini kutoka katika mafuzo ya vitabu vitakatifu hana sifa ya kuwa Muislam anaeshiriki vitedo vya unajimu uislam unakataza Shirki kama hizo Soma habari za mnajimu maarufu Nostradamus kwanini ma Bishop wengi walikuwa wakimtumia siku hizo 16th centurys je alikuwa na yeye ni Sheikh?
 
Ata kinjeketile Ngwale alijulikana mpaka Ujerumani na nchi zingine za Ulaya, kuwa aliwaingiza mkenge wenzake na dawa yake ya kugeuza risasi kuwa maji, na huyu babu hana tofauti na Kinjeketile...!
 
Back
Top Bottom