New York Times wamsifu Babu wa Loliondo

Una maana gani? Soma kwanza hiyo link yenye artcle ya Babu sio kukurupuka tu kuhusu Mnajimu Yahya Hussein na sio Sheikh Yahya koma kutumia jina la Sheikh hujui maana yake Kama yeye kachakachua Jina na hadhi ya Sheikh wewe usije kumlingania na Babu yako wa samunge tunachafuliwa na vyombo vyote vya habari vikubwa Dunia ABC News BBC na NYTimes bado kuna kuna watu wanaona sifa Babu kaandikwa na Mnajimu hajawahi kuandikwa Kaa ukijuwa anachofanya Mnajimu Yahya huku Canada jimo la Quebec pekee yake wapo zaidi ya ishirini na Maarufu kuliko wa huko bongo ni elimu tu ya Astrology si laZima uwe Muslim ni ajabu kumuona yahya hussein akihusishwa na hadhi na utaratibu wa kislam japo ni muislam lakini kutoka katika mafuzo ya vitabu vitakatifu hana sifa ya kuwa Muislam anaeshiriki vitedo vya unajimu uislam unakataza Shirki kama hizo Soma habari za mnajimu maarufu Nostradamus kwanini ma Bishop wengi walikuwa wakimtumia siku hizo 16th centurys je alikuwa na yeye ni Sheikh?

Kwa taarifa yako, Shehe Yahaya Whosain si chochote, yeye na dini yake ya marehemu wenu mwamadi. Huna jipya zaidi ya kuonyesha jazba na povu. Shehe wako hawezi kuwekwa kwenye New York Times kwa kutumia akili ya uislam. Ramli yenu si mali kitu.
 
nakubaliana na wewe kiranga, hapa tumetukanwa tena matusi ya nguoni. lakini wanasema kweli. sasa tanzania ni npopular kwa imani za kishirikina huenda kuliko hata kwa utalii! na labda kupita nchi nyingine yoyote katika ukanda huu. hiyo ndiyo maana ya jumla ya hii article .

sishangai watu wanaoisifia article eti imemsifu babu, kumbe imeitukana tanzani! kwani wote hawa ndio wanaomshabikia babu na wengi wao tayari wamekunywa kikombe na bado baadhi wanfanya biashara na kutengeneza pesa in connection with babu's business. hakika haya ni matokeo ya uvivu tu wa kutafakari.

hebu wapendwa tafakarini kwa utulivu hapo kwenye kipande nilichokiquote hapo chini kutoka kwenye hiyo article halafu mniambie great thnker yeyote wa ukweli akisoma ataelewaje?

naye alipoinuliwa juu ya nchi,
alituvuta wote kwake
Sifa ya babu inabaki palepale kuwa maelfu ya watu wanaenda kupata kikombe na wengi wanapona na wakati huohuo sifa ya ushirikina wenu nayo inabaki palepale kuwa mnaua albino kwa imani za kishirikina. Ingawa maudhui ya mwandishi ni kuwa hiyo ni imani kama zile nyingine. Babu kutoka katika NY Times sio kitu kidogo, inamaanisha kuwa ashakuwa star wa dunia.
 
Samahani Kimilidzo. Nionavyo mimi hii ni lugha ya kilimbukeni, au kwa maneno mengine matokeo ya ukoloni mamboleo (kulazimisha kwamba babu amesifiwa, eti basi tu tuanze kujiona kama vile tunatambulika saana duniani kwa sababu NY Times wameitaja TZ, khaaa!) What an inferiority complex!
 
Kwa taarifa yako, Shehe Yahaya Whosain si chochote, yeye na dini yake ya marehemu wenu mwamadi. Huna jipya zaidi ya kuonyesha jazba na povu. Shehe wako hawezi kuwekwa kwenye New York Times kwa kutumia akili ya uislam. Ramli yenu si mali kitu.
Acha jazba za kidini. You are not better off simply because you are a "Christian", my friend. FYI, I am also a churchgoer; and a good one at that!
 
SMUmimi siko hapa kumjaji mtu yeyote ila ujue mtu anapokuwa desperate na ugonjwa ni rahisi sana kuwa deceived. So to deceive 100,000 desperately sick people is very easy. Mbona hushangai ilivyo rahisi kwa shetani kudeceive mamilioni ya watu kila siku? This is just part of it.
 
Mmmh!
Sijaona sifa yoyote zaidi ya madongo ya kwa chinichini.
Halafu huyo babu nae yupo face book?
Mmmmh!
 
ndugu umesahau kusoma kile kipande wanachosema kua watanzania wengi tunaamini kua vipande vipande vya albino vyaleta bahati, I so wanna punch the author kwa kutuozesha samaki wote!!:A S-frusty:
 
soma vizuri hiyo article, hamna sifa yoyote, sana sana aibu tu
 
Acha jazba za kidini. You are not better off simply because you are a "Christian", my friend. FYI, I am also a churchgoer; and a good one at that!

Going to church does not makes you a Christian. Inaonekama umesahau hata ulicho andika, hilo ndilo tatizo la kukurupuka na kuandika manyanga. Babu yupo juu, utake usitake, ulie au ukae kimya, Babu wa Loliondo kasomwa na watu wa Wall Street pale nyuma ya John Street kama unaelewa nini nasema.

Bravo babu loliondo.
 
Nadhani wingi wa watu sio hoja, it just shows that people are really desperate of healing regardless of their status. Uzuri wa mambo ya Mungu hayapimwi na idadi ya watu bali hupimwa na neno lake. Let us be patient, time will tell.

safi kabisa mpendwa, japo ni wagumu kuelewa, lakini naamini hatimaye wataelewa tu

someni Neno la Mungu ndilo lenye ufunuo wa mapenzi ya Mungu na kila kitu kuhusu kazi zake. msitazame wingi wa watu. tunasoma kuwa hata vita vya gog na magog shetani atakusanya wafuasi wake wengi kama mchanga wa bahari!

Nafikiri taito ingekuwa NY Times waiponda TZ kwa imani za kishirikina. Yaani kwa mawazo yako wewe Error 404 umeona Babu kasifiwa? Duh, ama kweli safari tunayo, tena ndeefu saana!

exactly, hiyo ndiyo title inayofaa kwa kweli kwa maana maudhui makuu waliyoandika ndiyo hayo

Ata kinjeketile Ngwale alijulikana mpaka Ujerumani na nchi zingine za Ulaya, kuwa aliwaingiza mkenge wenzake na dawa yake ya kugeuza risasi kuwa maji, na huyu babu hana tofauti na Kinjeketile...!

big up bro.

this is a historical fact. watu wajue kuwa kujulikana peke yake hata kibwetere aliandikwa na vyombo vyote vikubwa vya habari ulimwenguni

mimi nimewaita ninyi kuwa rafiki zangu,
siwaiti tena watumishi
kwa maana mtumishi hajui analofanya Bwana
 
Babu is now going world wide. Soon tutasikia babu ana website. Tena tutasikia anatoa huduma online, ni wewe tu kuingiza namba za credit card yako.
 
laiti wangejua kuna wengine mbeya,knjaro,tabora,na mtwara,,,lolz!

They have satelites everywhere na corespondents wa vyombo vyao vya habari kila sehemu kwa hiyo wanajua hata huko pia kama wametokea watoa vikombe...Daah kweli hii ni nchi ya vikombe!!!
 
Crowds Come Over Roads and by Helicopters for Tanzanian’s Cure-All Potion

By JEFFREY GETTLEMAN

Published: March 28, 2011

— He’s a sensation in two countries. He’s snarled traffic for miles. He’s so popular that people have literally died waiting in line to see him.

Ambilikile Mwasapile, a 76-year-old retired pastor in rural Tanzania, has been offering a herbal concoction that he bills as a miracle potion that can cure just about any illness. In the past few weeks, tens of thousands of sick people have scrambled for a sip of his homebrewed drink. Some, apparently, have even flown in by helicopter.

On Monday, Tanzanian officials said that several dozen elderly and sick people had recently paid the price for joining the throngs.

“They died from the long queues,” said Isidore Shirima, a local official in Arusha, a town popular with tourists about six hours’ drive from the pastor’s village. “We’re not going to stop this, but we want to organize it better.”

More JESUS IS LORD

Huyu mwandishi ni Mkenya, sijawahi kuona Wakenya wakitusifia Watanzania kwa lolote! Hapa wandugu tumelimwa madongo ya nguvu hakuna mfano!
 
nakubaliana na wewe kiranga, hapa tumetukanwa tena matusi ya nguoni. lakini wanasema kweli. sasa tanzania ni npopular kwa imani za kishirikina huenda kuliko hata kwa utalii! na labda kupita nchi nyingine yoyote katika ukanda huu. hiyo ndiyo maana ya jumla ya hii article .

sishangai watu wanaoisifia article eti imemsifu babu, kumbe imeitukana tanzani! kwani wote hawa ndio wanaomshabikia babu na wengi wao tayari wamekunywa kikombe na bado baadhi wanfanya biashara na kutengeneza pesa in connection with babu's business. hakika haya ni matokeo ya uvivu tu wa kutafakari.

hebu wapendwa tafakarini kwa utulivu hapo kwenye kipande nilichokiquote hapo chini kutoka kwenye hiyo article halafu mniambie great thnker yeyote wa ukweli akisoma ataelewaje?

naye alipoinuliwa juu ya nchi,
alituvuta wote kwake

Ni ukweli ulio dhahiri kwamba maalbino wamekua wakiuawa kwa imani za kishirikina, kwahiyo mwandishi kuligusia hili kwenye article yake si jambo la ajabu. Jambo la ajabu hapa inawezekana tumezoea kusoma makala za waandishi wetu wa kibongo ambao hawawezi kuunganisha matukio mbalimbali katika makala zao sasa ukisoma nyt lazima ukutane na hali tofauti.

Kwakuwa watanzania wanasifika kwa ushirikina basi babu naye mnataka mumuingize kwenye kundi hilo, hii ni tabia mbaya sana tunayoilazimisha kuwabrand watu majina mabaya ili kukidhi matakwa binafsi.
 
Najaribu kutafakari iwapo haya mambo ya 'KIKOMBE CHA BABU' yana tofauti yoyote na shughuli za Sheikh Yahya Hussein?
 
Nimevutiwa kutafuta habari hii baada ya kusikia watangazaji wa Clouds Radio asubuhi hii ya leo 1st April wakisema eti babu kasifiwa!!!! Baada ya kuipitia habari yote kwa ukweli TUMEVULIWA NGUO... babu hajasifiwa hata kidogo. Tanzania tunaamini sana imani za kishirikina!!
 
Kazi kwelikweli!!!!!! Loliondo, Moshi, Mbeya, Tabora na sasa Morogoro Kichangani. Kunywa kikombe jirani kabisa na ulipo. Ingawa sasa ni muda muafaka kutafakazi imekuweje dawa/tiba ya aina hii kuibuka maeneo yote haya kwa wakati moja. Hapa Morogoro kikombe ni shs 200 tu.
 
Going to church does not makes you a Christian. Inaonekama umesahau hata ulicho andika, hilo ndilo tatizo la kukurupuka na kuandika manyanga. Babu yupo juu, utake usitake, ulie au ukae kimya, Babu wa Loliondo kasomwa na watu wa Wall Street pale nyuma ya John Street kama unaelewa nini nasema.

Bravo babu loliondo.
Wewe kweli bado una akili za kitoto, na naona ndio maana hii post yako imeishia kwenye jukwaa la utani. Utajiju...!
 
Back
Top Bottom