MaxShimba JF-Expert Member Apr 11, 2008 35,772 4,054 Apr 1, 2011 Thread starter #41 Wakuu, tmzungumze babu, tuache uhasama wa kidini.
MaxShimba JF-Expert Member Apr 11, 2008 35,772 4,054 Apr 1, 2011 Thread starter #42 Naona babu anaendlea kupelekwa kila jukwaa, alianzia, International, akapelekwa chit chat, sasa yupo udaku, !! Kweli babu katawala JF
Naona babu anaendlea kupelekwa kila jukwaa, alianzia, International, akapelekwa chit chat, sasa yupo udaku, !! Kweli babu katawala JF
Horseshoe Arch JF-Expert Member Aug 10, 2009 13,139 12,284 Apr 1, 2011 #43 XPLASTER yumkini umefanya uchunguzi wa kina otherwise u mmoja kati ya wengi wa aina yako!
Ms Judith JF-Expert Member Dec 24, 2010 2,563 918 Apr 2, 2011 #44 jamani, hivi thread kama hii nayo ni jokes/utani? ni udaku/gossip? mbona mimi sielewi jamani, utaiiitaje habari iliyoandikwa na chombo cha habari na link ya source yake imewekwa na ni halisi gossip? tusaidieni hapo jamani au imewekwa kwenye hili jukwaa imakosa? hap kazi ipo
jamani, hivi thread kama hii nayo ni jokes/utani? ni udaku/gossip? mbona mimi sielewi jamani, utaiiitaje habari iliyoandikwa na chombo cha habari na link ya source yake imewekwa na ni halisi gossip? tusaidieni hapo jamani au imewekwa kwenye hili jukwaa imakosa? hap kazi ipo
Horseshoe Arch JF-Expert Member Aug 10, 2009 13,139 12,284 Apr 2, 2011 #45 Miss J umetazama kwa mapana yake...ndo maana nimejibu kiserious thread rasmi japo ipo kwenye jukwaa lisilohitaji userious...
Miss J umetazama kwa mapana yake...ndo maana nimejibu kiserious thread rasmi japo ipo kwenye jukwaa lisilohitaji userious...
Ms Judith JF-Expert Member Dec 24, 2010 2,563 918 Apr 2, 2011 #46 Doedoe said: Naona babu anaendlea kupelekwa kila jukwaa, alianzia, International, akapelekwa chit chat, sasa yupo udaku, !! Kweli babu katawala JF Click to expand... yaani kwa thread kama hii kuhamishiwa jukwaa la gossip .... naamini hatimaye, neneo la Mungu litamshinda babu na biashara zake
Doedoe said: Naona babu anaendlea kupelekwa kila jukwaa, alianzia, International, akapelekwa chit chat, sasa yupo udaku, !! Kweli babu katawala JF Click to expand... yaani kwa thread kama hii kuhamishiwa jukwaa la gossip .... naamini hatimaye, neneo la Mungu litamshinda babu na biashara zake