New Korean Drama: Descendants Of The Sun (2016) NEW

mkuu jumong huipend?
Hii Drama Wakati Inatoka Kipindi Kilee Nilikua Busy Sana Sikuweza Kuingalia...

Lakini Sasa Hivi Natamani Kuingalia Ila Sasa Zile Episodes Kuzidownload, Episodes 81? Dah Mi Namtafuta Mkuu Aliyekuwa Nayo Kwenye Storage Yake
 
City hunter
Empress ki
Gumiho
Iris
Athena
The heirs
Tree with deep roots
Six frying dragons
East of eden
Jewel in the palace
Jumong
Dae Jo young
49 days
Emperor of the see
Queen of seondeok....hii nilimpenda sn mwanamama mishil
The president
Aisee ni nyingi mpk nyingne nimesahau jina kwa sasa naangalia iljimae
 
Kama Wewe Ni Mpenzi Na Mdau Wa Korean Drama Basi Kuna Huu Mzigo Umetoka Feb Mwaka Huu.

Drama Inazungumzia Maisha Ya Captain Wa Jeshi La South Korea Alie'Fall-In-Love Na Doctor, Wote Wawili Badae Wataenda Kufanya Kazi Na UN Huko Ndipo Wataendeleza Love Story Yao

Genre : Action, Romance, Comedy & Melodrama

Wale Watu Wangu Wa Torrent Link Hii Apa...

Descendants of the Sun (Korean Drama 2016) [JseitchenC] (download torrent) - TPB

View attachment 412228View attachment 412229View attachment 412230View attachment 412231View attachment 412232View attachment 412233View attachment 412234View attachment 412235
Ndugu successor hii hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom