New Korean Drama: Descendants Of The Sun (2016) NEW

Za mwaka huu kuna jackpot, doctors na scholar who walks at night. Halafu kuna moja ya ji Chang wook inaitwa K2 imeanza wiki ilopita ni shida hii kitu, ndo kwanza Ina episode 4.
Mkuu Tupia Link Ya Iyo Kitu Nimeisaka Torrents Siioni
 
Aiseee!!!!nimemaliza episode 3 hapa!!!!ila show imezidi kuninogea pale nilipomwona mtaalaam David Lee McInnis naye ndani ya nyumba
1475760926754.jpg
1475760935460.jpg
 
Yaani kwa uigizaji wa mkorea,mzungu hatii maguu yaani kitu BRIDAL MASK hii kitu mkorea alitisha mbaya
Kuna zngne kama
KIM SORO
KING GWANGAETO
LOVE STORY IN HAVARD
LOBBYST
GU FAMILY BOOK
LAND OF THE WIND
TREE WITH DEEP ROOTS(hii ni shida sana yaani humu kuna mapenzi,ngumi,panga usaliti,na ishu kibao)
Mkorea anatisha mno
 
Dah!!!!nimeimaliza leo hii kitu!!!kama isingeisha vile!!!!!ila mtaalamu Mcllins kafa kizembe,mi nilijua kutakuwa na mkono hatari kati yake na captain yoon
 
Dah!!!!nimeimaliza leo hii kitu!!!kama isingeisha vile!!!!!ila mtaalamu Mcllins kafa kizembe,mi nilijua kutakuwa na mkono hatari kati yake na captain yoon
Mkuu nimeshindwa kuipata kwenye torrent..kama una link nyingne nisaidie
 
Tafuteni hii The Flower in Prison, hutajuta ni mpya na bado
inaendelea kuoneshwa katika televisheni. Kila wiki inaoneshwa mara mbili.
Mpaka naandika zimeshafika episode 45 bado 5 kumalizika.
Ni zile story za kifalme ila hii kali sana.
 
Mkuu Anza Na EMPEROR OF THE SEE Kama Hujawai Kuiona, Hii Mimi Ndio Ilinikaribisha Kwenye Huu Ulimwengu (52 Episodes Tu). Humu Ndani Utakutana Na Slave Alieitwa Gong Bok, Jamaa Alipanda Ranks Hadi Akaja Kuwa Buseness Man Mkubwa Na Badae Balozi Akiwa Na Jina Jipya Jang Boko.

Ukimaliza Cheki Na Hii List

1. Slave Hunter
(Daegu The Slave Hunter Huyu Jamaa)

2. The Queen Of Seondeok
(Humu Ndani Kuna Mtu Anaitwa Bidam Yupo Na Princess Deokman & Field Marshal Muno Tamuu Vibayaa )

Halafu Ukuje Nikutajiee Na Nyingine Baada Ya Hizi Kuzimaliza...
Au Ushazichek Tayar???
Unafanya kazi capital tv?
 
kama umeipenda emperor of the sea angalia mzigp mwngne unaitwa empress ki hio kitu imetulia watu wametumia akili nying sana humo
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom