Jamaa wataomba radhi watu wengi sana kwa sababu sas hivi wao wanachokifanya ni kuchafua kila mtu ambaye wakubwa zao wanamchukia. Njia nzuri ni kuyafuta tu magazeti hayo ili kulinda heshima ya taaluma ya uandishi. Kuomba radhi wakati wameshaumiza hadhi na heshima za watu ni sawa na kujaribu kumrejeshea kuku manyoya baada ya kumnyonyoa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.