New device found!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Siku moja nikiwa foleni pale NMB morogoro,kuna wanachuo wawili wa SUA walikuwa wakirushiana miziki na videos kwa simu zao.Mbele yangu alisimama mzee mmoja na mvi zake,mkononi kashika simu lake kubwa la mchina huku amelisahau likiwa bluetooth on.Mara simu yake ikatoa request ya bluetooth connection,huku kapigwa na butwaa,aka-accept.File likaanza kuwa loaded,1%,15%,94%,100%...new video received,open it?,mzee akabonyeza,'YES'.Kilichotokea ni balaa kubwa duniani na homa kilo 10,ilikuwa ni PORNOGRAPHIC VIDEO!.Ndani ya benki pakiwa na utulivu wa hali ya juu ilishamiri miguno ya kingono ngono tena kwa sauti ya juu kabisa ya simu ya kichina.Mzee wa watu alichanganyikiwa,macho yote kwake,kila akijaribu kuizima ndo kwanza akawa anaongeza volume ya sauti.Mzee akaona isiwe shida,akang'oa battery ya simu na hatimaye pale ndani pakawa shwari huku kila mtu akiwa haamini alichokisikia na kukiona.Simulia sana ila usiombe yakukute.OVER.
 
huu ni utani siyo kweli. kuna porocedures za kujoin divice moja na nyingine. kwanza unaziconnect, zikiwa connected, ndipo unweza kurusha unachotaka na mwenzio kupokea. sasa wewe umeleta watu hata hawafahamiani, mara mmoja anarusha, na mwingine anapokea pasipo kuunganishwa. au siku hizi simu za mchina zinaautomatic connection?
 
Mbona inatokea mara kibao sababu wabongo wengi especially wazee hawajui matumizi mengine ya simu mbali na kupiga na kutuma msg sasa unapowaambia habari za jinolablue wapi na wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom