New Book on Islam Published

Wewe Max na wenzako mijadala yenu ya deen inaboa hapa kwenye net.

Ila nina maswali mawili tu nakuuliza.

Kwa mtazamo wako, I mean mtazamo wako wewe Max

1.Ni nchi gani afrika mashariki ambayo unaiona imeendelezwa na mkristo.
Usilete majibu ya wazungu kwani kwanza wao ndio wapinzani wakubwa wa kuwepo Mungu, nataka majibu ya wamisionari. wazungu wengi wanajali sayansi na ndio inayoendeleza dunia sasa.

2. Ni nchi gani afrika mashariki unayoiona haina civilazation kwasababu inaufuata uislamu?
Hii nayo majibu usiweke waarabu kwani wako waarabu wakristo na wanasayansi.

Labda ukiyajibu maswali haya wenzako washabiki wa deen ndio watakuelewa.
Bila ya hivyo mtabakia hapa hapa na ubishani wenu wakitoto
Baba ana pajero baba yako hana.
Baba ana majumba baba yako hana.
 
wewe max na wenzako mijadala yenu ya deen inaboa hapa kwenye net.

Ila nina maswali mawili tu nakuuliza.

Kwa mtazamo wako, i mean mtazamo wako wewe max

1.ni nchi gani afrika mashariki ambayo unaiona imeendelezwa na mkristo.
Usilete majibu ya wazungu kwani kwanza wao ndio wapinzani wakubwa wa kuwepo mungu, nataka majibu ya wamisionari. Wazungu wengi wanajali sayansi na ndio inayoendeleza dunia sasa.

2. Ni nchi gani afrika mashariki unayoiona haina civilazation kwasababu inaufuata uislamu?
Hii nayo majibu usiweke waarabu kwani wako waarabu wakristo na wanasayansi.

Labda ukiyajibu maswali haya wenzako washabiki wa deen ndio watakuelewa.
Bila ya hivyo mtabakia hapa hapa na ubishani wenu wakitoto
baba ana pajero baba yako hana.
Baba ana majumba baba yako hana.

labda nimsaidie tu huyu mlugulu katoliki anaemuabudu paulo kumbuka arab penisula imo kwenye g20 na halafa business ni hatari.

United arab emirates

saud arabia

oman endelea.

Wazungu ndio wanakwenda kutafuta ajira.

Mtume amesema kabla ya kiama arab itakuwa ni land iliojaa gardens. Wataburudika tuu.
 
Wewe Max na wenzako mijadala yenu ya deen inaboa hapa kwenye net.

Ila nina maswali mawili tu nakuuliza.

Kwa mtazamo wako, I mean mtazamo wako wewe Max

1.Ni nchi gani afrika mashariki ambayo unaiona imeendelezwa na mkristo.
Usilete majibu ya wazungu kwani kwanza wao ndio wapinzani wakubwa wa kuwepo Mungu, nataka majibu ya wamisionari. wazungu wengi wanajali sayansi na ndio inayoendeleza dunia sasa.

2. Ni nchi gani afrika mashariki unayoiona haina civilazation kwasababu inaufuata uislamu?
Hii nayo majibu usiweke waarabu kwani wako waarabu wakristo na wanasayansi.

Labda ukiyajibu maswali haya wenzako washabiki wa deen ndio watakuelewa.
Bila ya hivyo mtabakia hapa hapa na ubishani wenu wakitoto
Baba ana pajero baba yako hana.
Baba ana majumba baba yako hana.

Go elsewhere. Inaoenakana na wewe huna jipya kusaidia islamic civilization na jinsi ilivyo saidia afrika mashariki. lol

Wewe ukisikia ukristo, unafikiri umeletwa na mzungu. kaazi kweli kweli.
 
Kwa raha zangu nakaa hapa hapa nimione mnachogombania kuhusu mzungu na mwarabu.

Hapa hakuna uzungu wala nini. All I need is the proof ya how islam brought civilization in eastern africa.

Kujaribu kubadilisha mada kwa kuleta uzungu na/au ukirsto, wont help you guys.
 
Last edited:
Wewe Max na wenzako mijadala yenu ya deen inaboa hapa kwenye net.

Ila nina maswali mawili tu nakuuliza.

Kwa mtazamo wako, I mean mtazamo wako wewe Max

1.Ni nchi gani afrika mashariki ambayo unaiona imeendelezwa na mkristo.
Usilete majibu ya wazungu kwani kwanza wao ndio wapinzani wakubwa wa kuwepo Mungu, nataka majibu ya wamisionari. wazungu wengi wanajali sayansi na ndio inayoendeleza dunia sasa.

2. Ni nchi gani afrika mashariki unayoiona haina civilazation kwasababu inaufuata uislamu?
Hii nayo majibu usiweke waarabu kwani wako waarabu wakristo na wanasayansi.

Labda ukiyajibu maswali haya wenzako washabiki wa deen ndio watakuelewa.
Bila ya hivyo mtabakia hapa hapa na ubishani wenu wakitoto
Baba ana pajero baba yako hana.
Baba ana majumba baba yako hana.

Just read what you wrote.

Kwanza umedai mijadala ya deen inaboa kwenye net.

Pili, unauliza maswali ya kideen

Kaazi kweli kweli unapukuwa islamic thinker.
 
OBL, before you jump and post doubted ayats that supports your beliefs/faith, I argue you to tell us what is Civilization, islam, and islamization and how did islam influence and/or causes civilization in todays poor african continent. As well, tell us, when and where did civilization started.

mzee ningekushauri utafute hicho kitabu kama kweli unataka kuyafahamu haya kiundani!
labda nikupe dondoo tu chache jinsi uislam ulivyo-influence civilization!
-hakuna asiyefahamu kuwa uislam ulishamiri zaidi maeneo ya pwani kwa kuwa maeneo hayo yalikaliwa na waarabu, tuangalie maeneo au mikoa hiyo kama kweli ipo nyuma au ilikuwa nyuma kipindi hicho (Tanga, Mtwara, Dsm) mikoa hii iliendelea muda mrefu sana sio mikoa iliyoendelezwa hivi karibuni ila imedumazwa hivi karibu (tanga palikuwa na lami hadi pangani lakini sasa ni vumbi)
viwanda vingapi vilikuwepo tanga, mashamba makubwa nk je vimefia wapi?
angalia mji wa tanga ulivyopangika, tazama dsm ya zamani enzi ya mzizima angalia historia ya dar es salaam utajua ni jinsi gani usilam uliifluence huu mji kukua na wajerumani baadae waingereza kuuona ni mzuri, then nini kilitokea baada ya hapo!!
Angalia chimbuko na lugha ambayo watanzania tunajivunia na inatupa sifa na ndio iliyoweza kuwaunganisha na kusaidia harakati za uhuru,
pana mahali umedai kuwa mikoa yenye uislam ipo nyuma napinga nawe kwa asilimia zaidi ya 100, haip nyuma ila imerudishwa nyuma na rasilimali zake kuhamishwa kwa manufaa ya mikoa mingine!
wamisionary walikimbilia au walianzia kilimanjaro, iringa, nk na kuidhoofisha mikoa ilyokuwa imeendelezwa na waarabu,

usitumie nguvu ya lugha na hoja ya wazungu kuukataa ukweli wa historia!! uislam umeleta civilization east africa, jipe nafasi soma historia!!
 
Just read what you wrote.

Kwanza umedai mijadala ya deen inaboa kwenye net.

Pili, unauliza maswali ya kideen

Kaazi kweli kweli unapukuwa islamic thinker.

ungejibu hayo maswali hapo juu inegkusaida sana, kama unavyoona ww ni great thinker!! right ebu jibu hayo maswali kwa ufafanuzi ili tukuelewe na tuhakikishe kweli uislam haukuleta civilization!! mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!!
na hata sasa uislam haujapewa nafasi, inangawa wanabanwa bado wanajitahidi kwa hizo chache zilizoruhusiwa tunaona mafanikio (shule, hospital nk) huwezikuona kwa kuwa huoni!!!
nyingi ya institution za kiislam zinazokuja hapa zinatafutiwa sababu, tumeona hapa organization zinakuja zinajenga mashule, mahospital baada ya muda ohhh magaidi waondoke, na wakati huohuo wazungu wanakuja hapa na vi-ngo na taasisi zinazoanza na ST... kibao zinakuja kufanya investment bila kodi kujitajirisha na kuondoka,
 
mzee ningekushauri utafute hicho kitabu kama kweli unataka kuyafahamu haya kiundani!
labda nikupe dondoo tu chache jinsi uislam ulivyo-influence civilization!
-hakuna asiyefahamu kuwa uislam ulishamiri zaidi maeneo ya pwani kwa kuwa maeneo hayo yalikaliwa na waarabu, tuangalie maeneo au mikoa hiyo kama kweli ipo nyuma au ilikuwa nyuma kipindi hicho (Tanga, Mtwara, Dsm) mikoa hii iliendelea muda mrefu sana sio mikoa iliyoendelezwa hivi karibuni ila imedumazwa hivi karibu (tanga palikuwa na lami hadi pangani lakini sasa ni vumbi)
viwanda vingapi vilikuwepo tanga, mashamba makubwa nk je vimefia wapi?
angalia mji wa tanga ulivyopangika, tazama dsm ya zamani enzi ya mzizima angalia historia ya dar es salaam utajua ni jinsi gani usilam uliifluence huu mji kukua na wajerumani baadae waingereza kuuona ni mzuri, then nini kilitokea baada ya hapo!!
Angalia chimbuko na lugha ambayo watanzania tunajivunia na inatupa sifa na ndio iliyoweza kuwaunganisha na kusaidia harakati za uhuru,
pana mahali umedai kuwa mikoa yenye uislam ipo nyuma napinga nawe kwa asilimia zaidi ya 100, haip nyuma ila imerudishwa nyuma na rasilimali zake kuhamishwa kwa manufaa ya mikoa mingine!
wamisionary walikimbilia au walianzia kilimanjaro, iringa, nk na kuidhoofisha mikoa ilyokuwa imeendelezwa na waarabu,

usitumie nguvu ya lugha na hoja ya wazungu kuukataa ukweli wa historia!! uislam umeleta civilization east africa, jipe nafasi soma historia!!

Thanks kwa kunishauri nitafute kitabu.

But when you use the word KUSHAMIRI hakuna uhusiano yeyo na MAENDELEO. Hiyo Tanga unayo zungumziwa wewe na hizo barabara za lami, unazosema wewe, hazikujengwa na Waarabu na/au Uislam. Hayo mashamba ya katani hayakuanzishwa na Waarabu kama unavyo dai, wewe.

Zaidi, ya hapo, umeshindwa kuhusisha uislam na civilization kama inavyo daiwa na huyo daktari mwandishi wa kitabu. Mbaya zaidi, umedai kuwa Wamishionari waliharibu na/au kudhoofisha mikoa iliyo jengwa na Waarabu, na kushindwa kuambatanisha uthibitisho kusaidia reply yako.

ungejibu hayo maswali hapo juu inegkusaida sana, kama unavyoona ww ni great thinker!! right ebu jibu hayo maswali kwa ufafanuzi ili tukuelewe na tuhakikishe kweli uislam haukuleta civilization!! mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!!
na hata sasa uislam haujapewa nafasi, inangawa wanabanwa bado wanajitahidi kwa hizo chache zilizoruhusiwa tunaona mafanikio (shule, hospital nk) huwezikuona kwa kuwa huoni!!!
nyingi ya institution za kiislam zinazokuja hapa zinatafutiwa sababu, tumeona hapa organization zinakuja zinajenga mashule, mahospital baada ya muda ohhh magaidi waondoke, na wakati huohuo wazungu wanakuja hapa na vi-ngo na taasisi zinazoanza na ST... kibao zinakuja kufanya investment bila kodi kujitajirisha na kuondoka,

Hayo yalioandikwa ni madai na si maswali.

Umeleta mada ndani ya mada unapo sema kuwa uislam umebanwa, in truth and indeed, that is a lie. Uislam ndio dini pekee Tanzania yenye chama cha siasa. Rais wa Tanzania ni Muislam, Makamu wake vilevile ni muislam, mawaziri karibia wote ni waislam, Zanzibar ni yenu waislam, Mkuu wa polisi ni muislam, sasa ni kivipi mnabanwa? na ni nani anaye wabana?

Madai yako ya mwisho, eti taasisi za kiislam zinafungwa au waanzilishi wake wanafukuzwa, ni za kizushi na hazina msingi na kukosa mwelekeo, na kuisingizia Serikali bila ya ushaidi.
 
Thanks kwa kunishauri nitafute kitabu.

But when you use the word KUSHAMIRI hakuna uhusiano yeyo na MAENDELEO. Hiyo Tanga unayo zungumziwa wewe na hizo barabara za lami, unazosema wewe, hazikujengwa na Waarabu na/au Uislam. Hayo mashamba ya katani hayakuanzishwa na Waarabu kama unavyo dai, wewe.

Zaidi, ya hapo, umeshindwa kuhusisha uislam na civilization kama inavyo daiwa na huyo daktari mwandishi wa kitabu. Mbaya zaidi, umedai kuwa Wamishionari waliharibu na/au kudhoofisha mikoa iliyo jengwa na Waarabu, na kushindwa kuambatanisha uthibitisho kusaidia reply yako.
labda nikupe mfano mdogo, nadhani hutopingana nami nikikuambia kuwa ili nchi au sehemu yeyote iendelee inahitaji lugha, tumeona uislam au waarabu ni chimbuko la kiswahili, na lugha hii iliweza kusambaa kwa haraka kwa maana ilikuwa ikitumika katika biashara nk! bado hiyo hakuchangia!!!
ukipata bahati pita makumbusho DSM (nationa museum) uone sarafu zilikuwa introduced kipindi gani, pana sehemu pale wanaonyesha ammbo ya kale bagamoyo, uone jinsi waarabu waliintroduce sarafu na hivyo kustimulate uchumi,
mavazi pia ni civilization, tunaona wenyeji wengi wa pwani walijifunza jinsi ya kuvaa kupitia uislam au uarabu na kiasili makabila mengi hayakuwa yanavaa...inagawa sasa ni kinyume watu wanatembea uchi na hii inataka kuturudisha tulipotoka just ku-cover sehemu ya mbele na nyuma, je ni nani anayeturudisha tulipotoka!
pana vitu umevitaka nikupe uthibitisho mimi nimekupa highlight chimbuka maana ukitafuniwa huelewi, labda ungeweza kunisaidia kwa nini mikoa ya pwani amabayo ilikuwa imeendelea zaidi ilikuja na kudidmia baadae???
 
Hapa hakuna uzungu wala nini. All I need is the proof ya how islam brought civilization in eastern africa.

Kujaribu kubadilisha mada kwa kuleta uzungu na/au ukirsto, wont help you guys.

acha kubadilibadili ww ni mtaalam sana wa kuushirikisha uislam na uarabu leo vipi, na huachi kuleta mabandiko ya wamarekani na wengineo wanaouchafua na kupaka matope uislam, mara ngapi tumekupa aya kwa mujibu wa qurani kwenye hoja na ww unarejea na picha za waarabu,

kama upo katika forum ya dini kwa kujifunza na kujua upande wa pili, inabidi ujifunze kutoka kwa wahusika na c´vinginevyo, huwezi kutenganisha ukristo na wazungu maana kuna nchi ukizaliwa tu ww ni mali ya kanisa, na ukitaka kujitoa inabidi ulipie, sasa utatenganisha vipi!! ukristo na mzungu!!!
 
Lete mfano wa hiyo nchi, ambayo ukizaliwa tu, wewe unakuwa Mkristo, na ukihama ukristo, inabidi ulipie. lol

Hakuna uhusiano wowote kati ya Ukristo na uzungu.
 
mkuu siku zote huwa unakwepa kujibu hoja au maswali kwa kuleta swali, jifunze kwanza kujibu swali ndio uulize swali,
nadhnai unafahamu kuwa kuna nchi zinaitwa nchi za msalaba au nchi ambazo kila mwananchi lazima akatwe kodi kaw ajili ya kanisa, isipokuwa tu kwa wale walilihama kanisa officially, nchi nyingi za europe zipo katika mfumo huu wanaiita kama ni official religion, state inakuwa linked na church! denmark, norway, sweden, greece, vatican, etc
 
sasa rudi basi kwenye mada, ningefurahi kupata majibu ya maswali aliyokuuliza darwin na yale niliyochomekea kwenye post yangu iliyopita, japo nisikie mtizamo wako kutoka kwako!
 
As I said before, darwin ameweka madai and not questions. FYI hakuna nchi ya Kikristo kama ilivyo katika utamaduni wa Waarabu kuweka na kuislimisha nchi na kuwa ya kiislam, yaani nchi kuwa na deen kama allah wenu alivyo kuwa na deen. Sijuwi allah wenu anamsalia nani na nchi kama nchi inamsalia nani.

Uislam, si imani kama unavyo fikiria, bali ni submission kwa allah wenu kutokana na Koran yenye shaka. Ukitaka ukweli halisi kuhusu hiyo submission, basi itanibidi nianze kuweka ayat kutoka Koran na sahih hadith, kitu ambacho nilikuwa sitaki kufanya. You can see from my replies kutokea mwanza, ninajaribu kuavoid mwendo huo, ambao, unaweza ukawa personal to you muhammadans, na kuwapandisha jazba, na kusababisha hii thread kufungwa.

Mwadishi wa kitabu amedai kuwa uilsam umeweza kwa kiasi kikubwa kumhusisha mwanamke, wakati ni uongo mtupu kutokana no Koran yenu inayo dai kuwa Mwanamke ni nusu mtu na hana haki katika usilam.
 
lete mfano wa hiyo nchi, ambayo ukizaliwa tu, wewe unakuwa mkristo, na ukihama ukristo, inabidi ulipie. Lol

hakuna uhusiano wowote kati ya ukristo na uzungu.

kwa hakika hilo linauhusiano wa karibu sana hasa wao ndio walio andika hizo bible na kuzieneza wakati walipokuja kuchukua watumwa na kibaya wao wala hawafuati hizo bible hutumia tuu kwa maslahi yao.

Hili lipowa wazi ulimwenguni kote mila za wazungu zinajulikana na kuwavalisha wanawake uchi hadi makanisani na kufanya kila lililokatazwa na mungu na hutakuta mkristo anampinga mzungu hata siku moja bali wao ndio waliokaribu wanaburutwa tuu mpaka shimoni.
 
Poor reasoning.
 
Back
Top Bottom