Prof Gamba JF-Expert Member Jun 10, 2011 390 254 Jan 29, 2012 #41 Anawaponda Duni, jusa na Mtatilo, hii mipasho sijui itakakofika.
Prof Gamba JF-Expert Member Jun 10, 2011 390 254 Jan 29, 2012 #42 Kamalizia kwa kuwauliza kuwa anataka kukizika CUF, aanzie wapi, watu Wawiiii, duh!
N Ngonini JF-Expert Member Sep 1, 2010 2,023 563 Jan 29, 2012 #43 'Baada ya 13 march nitaenda mwanza kukizika chama cha CUF hakiwezi kuishi kimekufa hiki!' Hayo ndo maneno ya mwisho ya HR.
'Baada ya 13 march nitaenda mwanza kukizika chama cha CUF hakiwezi kuishi kimekufa hiki!' Hayo ndo maneno ya mwisho ya HR.
Buchanan JF-Expert Member May 19, 2009 13,199 1,969 Jan 29, 2012 #44 Ngonini said: 'Baada ya 13 march nitaenda mwanza kukizika chama cha CUF hakiwezi kuishi kimekufa hiki!' Hayo ndo maneno ya mwisho ya HR. Click to expand... Mkuu Ngonini, Mpemba mbishi na wengineo nashukuru kwa updates!
Ngonini said: 'Baada ya 13 march nitaenda mwanza kukizika chama cha CUF hakiwezi kuishi kimekufa hiki!' Hayo ndo maneno ya mwisho ya HR. Click to expand... Mkuu Ngonini, Mpemba mbishi na wengineo nashukuru kwa updates!