TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,893
- 11,290
Thanks aiseeBado wapo kwani wanajamii wanawahitaji sana na ile ofisi ya kijiji ilibomoka ndio wameanza kujenga sasa
Nimekumbuka mbali sana, mengine hayafai kusemwa
ushasikia jamaa kaenda kukata gogo porini halafu karudishwa mbio na mbweha?