Never Knew...

bora finest kwa sababu mama b anambana...Kidogo inasaidia! Ila huyu saint...Nafikiri kuna mtu inabidi tumuwajibishe kwa kutofanya kazi ipasavyo! Kama sikosei ni mjukuu wako....:tape2:

Smiles mambo?
St. hashirikiani na :A S-devil1::A S-devil1:....kuhusu mjukuu wa babu....:tape::tape::tape:
 
Hahahaaaaaa....
Eti kiongozi....nasikia siku hizi umekuwa libeberu likubwa....
Eee mkuu wa majeshi tengua viuno vya mabeberu wote (anza na Asprin)....digidigi wote wa:rip:, naona kelele zinazidi hadi tunashindwa kulala kwa raha....eimen!

Kwa kuwa ROZARI leo ni matendo ya uchungu basi na kwa vile bado una uchungu wa kuumwa basi wanajumuiya wa JF wataongoza matendo hayo kwa ajili yako tembo
 
Kwa kuwa ROZARI leo ni matendo ya uchungu basi na kwa vile bado una uchungu wa kuumwa basi wanajumuiya wa JF wataongoza matendo hayo kwa ajili yako tembo

Mabeberu na madigidigi yafe...yabaki majogoo peke yake....
 
Kha...........Yaani we Baba Gift na Babu yangu Asprini ndo mmepotoka namna hii??.........................walahi sitokaa nilivae tena pendo.

Waone kwanza vichwa vyao vya juu!!.
 
Kha...........Yaani we Baba Gift na Babu yangu Asprini ndo mmepotoka namna hii??.........................walahi sitokaa nilivae tena pendo.

Waone kwanza vichwa vyao vya juu!!.
dogo usijilaani... kwani maneno/mawazo huumba
 
Kha...........Yaani we Baba Gift na Babu yangu Asprini ndo mmepotoka namna hii??.........................walahi sitokaa nilivae tena pendo.

Waone kwanza vichwa vyao vya juu!!.

Wameniibia pasiwedi yangu kajukuu...

babu hawezi kuandika mapointi kama hayo kama valuu haijahusika:nono::nono::nono:
 
Tunakuomba umjaalie mwanajamiione na umuongezee infidelators wengine SITA ili kuwe na uwiano,yane pale ANALIVUA PENDO KWA HUYU,ANAMVALISHA YULE PALE IMMEDIATELY,analivua kwa yule pale anamvalisha yuuleee wa kule mwisho yule braza mwenye black....

EEE BWAAANAAAAAAAAAA..........
pia twaomba japo aambulie gegedu moja la haja ili kuweza kuupoza moyo hasa katika kipindi hiki kuelekea mwisho wa mwaka... ee baba
 
pia twaomba japo aambulie gegedu moja la haja ili kuweza kuupoza moyo hasa katika kipindi hiki kuelekea mwisho wa mwaka... ee baba

Hahahahaha!

Kamanda umenimaliza hapo kwenye red LOLZ

Twakuombaaaaaaaaa Ebwana pokea maombi yeeeeetuuuuu!
 
Halafu hommie hii mid-weekend inakuaje.....nimeacha bia ujue, mambo ya kushtukizana sio mazuri....(nakunywa nyagi tu basi)

Jana wakati naenda home nikapita ile barabara ya JJ nikakutana na yule eliza wa pale akawa analalamika kuwa tumehamishia kikao sehemu nyingine nini mbona watu hatuonekani nikasema mamaaa weeee
 
Halafu hommie hii mid-weekend inakuaje.....nimeacha bia ujue, mambo ya kushtukizana sio mazuri....(nakunywa nyagi tu basi)

Hivi hii siku ilihusisha kuandama kwa mwezi au watani wetu wameamua kutushtukiza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom