Never date a girl who can't respect your wife

Siulizi Bei mkuu kunywa JOBO 4 nitalipa
Aisee leo you made my day...kwanza nilikua sijawahi skiaga hili neno jobo...siku moja nakula zangu bia mahali na mtoto mmoja wa mjini akaja mshkaji mmoja hv kumfata huyo jamaa nilikua nae tukaiva sana jamaa akaniambia acheni bill yote naclear mm...tukamoka kweli kweli...baadae kwenye connection..na namba pale (ukiwa bar hakikisha unachukua namba ya mtu mnaepiga story na umuulize anafanya nn and vice versa) ndio ananiambia mm ndio mmiliki wa Jobo..nilamwambia ndio nini..akaniambia ni pombe hz ndogo(visungura) ila soko langu haliko dar...mm ni moro na mikoa mingine ...nilishangaa sana sasa toka sku ile sijawahi skiaga kwa mtu tena lile neno.
Leo ndo naliskia..kumbe kweli ..na jamaa sikumtafuta tena...! Nimefurahi nitamtafuta!

 MP
 
Kwa hawa wanawake wa mwendokasi hakika nawaambieni usipodate na mwanamke mwingine nje, mkeo atadate na mwanaume mwingine nje.

Akili kichwani kwako
 
Aisee leo you made my day...kwanza nilikua sijawahi skiaga hili neno jobo...siku moja nakula zangu bia mahali na mtoto mmoja wa mjini akaja mshkaji mmoja hv kumfata huyo jamaa nilikua nae tukaiva sana jamaa akaniambia acheni bill yote naclear mm...tukamoka kweli kweli...baadae kwenye connection..na namba pale (ukiwa bar hakikisha unachukua namba ya mtu mnaepiga story na umuulize anafanya nn and vice versa) ndio ananiambia mm ndio mmiliki wa Jobo..nilamwambia ndio nini..akaniambia ni pombe hz ndogo(visungura) ila soko langu haliko dar...mm ni moro na mikoa mingine ...nilishangaa sana sasa toka sku ile sijawahi skiaga kwa mtu tena lile neno.
Leo ndo naliskia..kumbe kweli ..na jamaa sikumtafuta tena...! Nimefurahi nitamtafuta!

 MP
Hizo JOBO zinanywewa Sana asee Na ni Kali Ile mbaya ukimaliza 5 basi kichwa yako ipo Sawa sababu sijawahi skiaga mtu kapiga JOBO nne.

Huyo jamaa kama atapiga Kwa Dar asee atavuruga vijana hahahahaha.

JOBO NI MASTER
 
Nafkiri kashindwa kupenetrate soko la dar...soko la dar la kishenzi wanacopy sana aisee..plus kodi halafu ushindani mkubwa sana
 
Na michepuko inatakiwa ijue mapema kuwa una familia mambo ya kudanganya mwanzo sio poa, mie dame akishindwa kukubaliana na hali ya mm kuwa na familia ndo tunaishia hapo
 
Ukisoma comments za wananzengo unaweza kudhani wewe ni mtu mchafu sana kwa ku date nje ya ndoa kwa jinsi wananzengo walivyo waaminifu kweli kwenye ndoa zao 😂😂😂
Mwanaume to date nje haimaanishi hampendi mkewe, jichanganye uingilie maslahi ya mkewe ndio utajua namba mmoja wa mkewe.....
Na ukitaka kudumu na mme wa mtu hakikisha unamheshimu mkewe hata kwenye maongezi
 
Mahaba hayana KANUNI
Wanaume tukikolezwa tunakuaga wajinga sana

Heshima kitu gani bani watu wanamteka mazima anatelekeza na familia kabisa 😂😂😂
 
Mmh siyo kweli, hamna asiyependa mnyanduano 😀
Mimi kuna wakati hua najiuliza sana kama nyie wanawake kweli hua mnaenjoy mnyanduano au hua mnafanya tu kutufurahisha. Manake kuna mda hua bila sisi kukomaa sana mpaka kuelekea kuwabaka ndio mnatoa mzigo kishingo upande 😒
 
Back
Top Bottom