financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,144
- 40,722
Mmh siyo kweli, hamna asiyependa mnyanduano 😀Njia kuu kila siku inaumwa kichwa
Mmh siyo kweli, hamna asiyependa mnyanduano 😀Njia kuu kila siku inaumwa kichwa
Aisee leo you made my day...kwanza nilikua sijawahi skiaga hili neno jobo...siku moja nakula zangu bia mahali na mtoto mmoja wa mjini akaja mshkaji mmoja hv kumfata huyo jamaa nilikua nae tukaiva sana jamaa akaniambia acheni bill yote naclear mm...tukamoka kweli kweli...baadae kwenye connection..na namba pale (ukiwa bar hakikisha unachukua namba ya mtu mnaepiga story na umuulize anafanya nn and vice versa) ndio ananiambia mm ndio mmiliki wa Jobo..nilamwambia ndio nini..akaniambia ni pombe hz ndogo(visungura) ila soko langu haliko dar...mm ni moro na mikoa mingine ...nilishangaa sana sasa toka sku ile sijawahi skiaga kwa mtu tena lile neno.Siulizi Bei mkuu kunywa JOBO 4 nitalipa
Hizo JOBO zinanywewa Sana asee Na ni Kali Ile mbaya ukimaliza 5 basi kichwa yako ipo Sawa sababu sijawahi skiaga mtu kapiga JOBO nne.Aisee leo you made my day...kwanza nilikua sijawahi skiaga hili neno jobo...siku moja nakula zangu bia mahali na mtoto mmoja wa mjini akaja mshkaji mmoja hv kumfata huyo jamaa nilikua nae tukaiva sana jamaa akaniambia acheni bill yote naclear mm...tukamoka kweli kweli...baadae kwenye connection..na namba pale (ukiwa bar hakikisha unachukua namba ya mtu mnaepiga story na umuulize anafanya nn and vice versa) ndio ananiambia mm ndio mmiliki wa Jobo..nilamwambia ndio nini..akaniambia ni pombe hz ndogo(visungura) ila soko langu haliko dar...mm ni moro na mikoa mingine ...nilishangaa sana sasa toka sku ile sijawahi skiaga kwa mtu tena lile neno.
Leo ndo naliskia..kumbe kweli ..na jamaa sikumtafuta tena...! Nimefurahi nitamtafuta!
 MP
Nafkiri kashindwa kupenetrate soko la dar...soko la dar la kishenzi wanacopy sana aisee..plus kodi halafu ushindani mkubwa sanaHizo JOBO zinanywewa Sana asee Na ni Kali Ile mbaya ukimaliza 5 basi kichwa yako ipo Sawa sababu sijawahi skiaga mtu kapiga JOBO nne.
Huyo jamaa kama atapiga Kwa Dar asee atavuruga vijana hahahahaha.
JOBO NI MASTER
Mwanaume to date nje haimaanishi hampendi mkewe, jichanganye uingilie maslahi ya mkewe ndio utajua namba mmoja wa mkewe.....Ukisoma comments za wananzengo unaweza kudhani wewe ni mtu mchafu sana kwa ku date nje ya ndoa kwa jinsi wananzengo walivyo waaminifu kweli kwenye ndoa zao 😂😂😂
Madini matupuu🔥🔥Hakuna mwanaume anayemheshimu mkewe alafu a-date na Mwanamke mwingine nje.
Kama humheshimu mkeo kwani huyo unaye-date naye amheshimu?
Hana sababu hata moja ya kumheshimu mkeo ikiwa wewe unayestahili kumheshimu haumheshimu
Mahaba hayana KANUNIMwanaume to date nje haimaanishi hampendi mkewe, jichanganye uingilie maslahi ya mkewe ndio utajua namba mmoja wa mkewe.....
Na ukitaka kudumu na mme wa mtu hakikisha unamheshimu mkewe hata kwenye maongezi
utajuaje?Wakuu nawakumbusha tu, usidate girl ambaye hana heshima kwa mke wako.
Naomba kuwasilisha
Mimi kuna wakati hua najiuliza sana kama nyie wanawake kweli hua mnaenjoy mnyanduano au hua mnafanya tu kutufurahisha. Manake kuna mda hua bila sisi kukomaa sana mpaka kuelekea kuwabaka ndio mnatoa mzigo kishingo upande 😒Mmh siyo kweli, hamna asiyependa mnyanduano 😀
hivi bado ni sumu miaka ya leo?Mume wa mtu ni sumu , baki njia kuu