Neti za Mbu na 'HATARI' Yake!

Weweeee!
We Mnyaki una matatizo eeh?:lol:
Vipi jana jamaa zako wa yale mabasi 2 toka Mbeya walifika kwa Mch. Mwasapile kumsalimia?

ah! wapi bwana!wanakijiji wa samunge kata ya digodigo wakali, wana wivu kusikia eti babu ana ndugu wengine zaidi yao......

''ero habana fika pande hii, kama nataka uza sura, nenda kwenye nimbo enu sa injili....habana samunge, aya enda, mwasongwe enda, mwansasu enda, ambele enda, mwakasege enda, bukuku enda, mwaipopo enda, lusekelo enda, mwaikomedi enda, mwakipakajimmy

Habana ona pua ya mutu bande hii, sirikali etu na kijiji etu habana ona nyinyi tena. Ilikuwa wapi siku yote??''
 
...awali nilidhani ni net za kichina..matundu makubwaa!!!.... kila siku ni lazima niamke na mbu 5 au zaidi..kweli Bush ana agenda yake ya siri..badala ya atusaidie kuangamiza mbu na mazalia yao ili watu tuishi, anasaidia kuangamiza watu na watoto wetu ili mbu waishi...!!!
 
kama tunategemea wataalamu watanzania ndio waseme net hazifai twafwaa!! kumbukeni watu waliokufa kule Nyamongo kutokana na sumu ya mgodi wa North Mara, bila waziri Kagasheki kugangamala baada ya kuwasikiliza wananchi wataalamu walishamsomesha kwamba hakuna aliyedhurika!!! Watanzania bwana....
 
Back
Top Bottom