Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,081
Wazungu wana Uingereza, Switzerland, france, n.k. - sina haja ya kuwaelezea sana
Waarabu wana uae na kuwait - Wametumia vema mafuta yao kwa maendeleo ya nchi zao.
Walatini wana uruguay, Chile- sio wenzetu tena hawa, wapo mbali mno.
Wachina wana china, korea, japan - viwanda kibao + Technology.
Wahindi wana India yao - Waachapakazi, Wafanyabiashara + diaspora iliyofanikiwa zaidi
Kwa Africa South Africa kumeendelea lakini ni kwasababu ya wazungu kama kina Elon Musk, waafrika wa asili mambo ni hohe hae,
Nigeria ndio nchi inayoongoza kwa maendeleo ya waafrika halisi lakini bado ipo nyuma sana kwa jicho la kidunia, kuna vita za kidini, kuna vita za kikabila na ukabila wa hali ya juu, magaidi bokoharam, ufisadi uliokithiri, n.k.