Neno mbao lipo kwenye umoja au wingi?

musami

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
1,434
458
Leo nilikuwa nimekaa na watu fulani waliokuwa wanaongelea mambo ya michezo ambapo waliishia kubishana kuhusu neno mbao wakisema linaelezea uwingi wa ubao,sasa je ni kweli huwezi kusema kuna mbao moja?
 
Back
Top Bottom