NEMC na JMAT kuandaa kongamano la Kitaifa la kujenga uelewa kuhusu athari zitokanazo na sauti zilizozidi viwango katika nyumba za ibada

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,814
11,991
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) wameandaa kongamano la Kitaifa la kujenga uelewa kuhusu athari zitokanazo na sauti zilizozidi viwango katika nyumba za ibada litakalofanyika Juni 12,2023 Jijini Dar es Salaam.
IMG-20230608-WA0052.jpg

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Juni 8,2023 Mwenyekiti Taifa -Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Dkt.Alhad Issa Salum amesema katika Kongamano hilo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa hivyo amewataka viongozi wa wote wa dini na madhehebu yote kuhudhuria ili kuweza kupata fursa ya kuelewa na uelewa wa hizo athari zitokanazo na sauti zilizozidi viwango.
IMG-20230608-WA0060.jpg

Amesema kongamano hilolitawajengea uelewa zaidi katika lile linalokusudiwa na kupelekea waumini na wananchi wote kuishi kwa amani na utulivu.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu NEMC, Dkt.Samuel Gwamaka amesema kwa kipindi hiki wamewalenga hasa viongozi wa dini pamoja na viongozi wa kimila hivyo amewataka wafiike wakiwa na vitambulisho vyao kwani wanahitaji kuwapatia elimu hasa wale ambao wamewakusudia.
IMG-20230608-WA0053.jpg
IMG-20230608-WA0057.jpg

"Tunaamini kwamba kwa kutoa elimu hii inayohusiana na suala la mazingira katika maeneo mbalimbali yanayogusa jamii hasa kwenye masuala ya kiafya viongozi hawa watakuwa mabalozi wazuri kufikisha elimu hiyo kwa wale ambao wanawalea katika nidhamu". Amesema Dkt.Gwamaka.
 
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) wameandaa kongamano la Kitaifa la kujenga uelewa kuhusu athari zitokanazo na sauti zilizozidi viwango katika nyumba za ibada litakalofanyikaJuni 12,2023 Jijini Dar es Salaam.
View attachment 2650303
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Juni 8,2023 Mwenyekiti Taifa -Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Dkt.Alhad Issa Salum amesema katika Kongamano hilo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa hivyo amewataka viongozi wa wote wa dini na madhehebu yote kuhudhuria ili kuweza kupata fursa ya kuelewa na uelewa wa hizo athari zitokanazo na sauti zilizozidi viwango.
View attachment 2650304
Amesema kongamano hilolitawajengea uelewa zaidi katika lile linalokusudiwa na kupelekea waumini na wananchi wote kuishi kwa amani na utulivu.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu NEMC, Dkt.Samuel Gwamaka amesema kwa kipindi hiki wamewalenga hasa viongozi wa dini pamoja na viongozi wa kimila hivyo amewataka wafiike wakiwa na vitambulisho vyao kwani wanahitaji kuwapatia elimu hasa wale ambao wamewakusudia.
View attachment 2650301View attachment 2650302
"Tunaamini kwamba kwa kutoa elimu hii inayohusiana na suala la mazingira katika maeneo mbalimbali yanayogusa jamii hasa kwenye masuala ya kiafya viongozi hawa watakuwa mabalozi wazuri kufikisha elimu hiyo kwa wale ambao wanawalea katika nidhamu". Amesema Dkt.Gwamaka.
Ngoja tuone kama wataambiana ukweli, au wataoneana haya

Huku kitaa kelele kwa upande wa wakristo ni makanisa ya madhehebu yanayosali kwa mitindo ya kilokole na kwa waislamu ni misikiti inayoongozwa na watanzania 'waswahili/ngozi nyeusi' wenzetu ndio yenye kelele kupitia azana hususani asubuhi na maneno ya ajabu ajabu
 
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) wameandaa kongamano la Kitaifa la kujenga uelewa kuhusu athari zitokanazo na sauti zilizozidi viwango katika nyumba za ibada litakalofanyika Juni 12,2023 Jijini Dar es Salaam.
View attachment 2650303
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Juni 8,2023 Mwenyekiti Taifa -Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Dkt.Alhad Issa Salum amesema katika Kongamano hilo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa hivyo amewataka viongozi wa wote wa dini na madhehebu yote kuhudhuria ili kuweza kupata fursa ya kuelewa na uelewa wa hizo athari zitokanazo na sauti zilizozidi viwango.
View attachment 2650304
Amesema kongamano hilolitawajengea uelewa zaidi katika lile linalokusudiwa na kupelekea waumini na wananchi wote kuishi kwa amani na utulivu.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu NEMC, Dkt.Samuel Gwamaka amesema kwa kipindi hiki wamewalenga hasa viongozi wa dini pamoja na viongozi wa kimila hivyo amewataka wafiike wakiwa na vitambulisho vyao kwani wanahitaji kuwapatia elimu hasa wale ambao wamewakusudia.
View attachment 2650301View attachment 2650302
"Tunaamini kwamba kwa kutoa elimu hii inayohusiana na suala la mazingira katika maeneo mbalimbali yanayogusa jamii hasa kwenye masuala ya kiafya viongozi hawa watakuwa mabalozi wazuri kufikisha elimu hiyo kwa wale ambao wanawalea katika nidhamu". Amesema Dkt.Gwamaka.
Kwa kweli NEMC nawapa maua yenu ,mnafanya kazi kubwa saana kuhakikisha mazingira yanalindwa na yanakuwa salama
 
Hongereni kwanza kwa mapambano yenu yakudhibiti kelele mmefanikiwa ila sasa hili mnalokuja nalo nikubwa zaidi kwani wapo watu waliwabeza kuwa mlifanya kwa haraka pasipo elimu sasa elimu ndo inaenda kuwa fikia hongereni kubwa sana hili kwani litaenda kujibu maswali yote
 
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) wameandaa kongamano la Kitaifa la kujenga uelewa kuhusu athari zitokanazo na sauti zilizozidi viwango katika nyumba za ibada litakalofanyika Juni 12,2023 Jijini Dar es Salaam.
View attachment 2650303
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Juni 8,2023 Mwenyekiti Taifa -Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Dkt.Alhad Issa Salum amesema katika Kongamano hilo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa hivyo amewataka viongozi wa wote wa dini na madhehebu yote kuhudhuria ili kuweza kupata fursa ya kuelewa na uelewa wa hizo athari zitokanazo na sauti zilizozidi viwango.
View attachment 2650304
Amesema kongamano hilolitawajengea uelewa zaidi katika lile linalokusudiwa na kupelekea waumini na wananchi wote kuishi kwa amani na utulivu.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu NEMC, Dkt.Samuel Gwamaka amesema kwa kipindi hiki wamewalenga hasa viongozi wa dini pamoja na viongozi wa kimila hivyo amewataka wafiike wakiwa na vitambulisho vyao kwani wanahitaji kuwapatia elimu hasa wale ambao wamewakusudia.
View attachment 2650301View attachment 2650302
"Tunaamini kwamba kwa kutoa elimu hii inayohusiana na suala la mazingira katika maeneo mbalimbali yanayogusa jamii hasa kwenye masuala ya kiafya viongozi hawa watakuwa mabalozi wazuri kufikisha elimu hiyo kwa wale ambao wanawalea katika nidhamu". Amesema Dkt.Gwamaka.
Mwanzoni tulikuwa na maswali kuhusu makelele yatokanayo na nyumba za ibada ,mmefanya vizuri kwenye ma Bar na nyumba za starehe sasa mmepiga hatua nzuri zaidi kwa nyumba za ibada kuhakikisha kuwa jamii inakuwa salama kwa kupunguza kiwango cha kelele ,hongera saana NEMC na mkurugenzi wake na jumuiya ya amani kwa hatua hii
 
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) wameandaa kongamano la Kitaifa la kujenga uelewa kuhusu athari zitokanazo na sauti zilizozidi viwango katika nyumba za ibada litakalofanyika Juni 12,2023 Jijini Dar es Salaam.
View attachment 2650303
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Juni 8,2023 Mwenyekiti Taifa -Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Dkt.Alhad Issa Salum amesema katika Kongamano hilo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa hivyo amewataka viongozi wa wote wa dini na madhehebu yote kuhudhuria ili kuweza kupata fursa ya kuelewa na uelewa wa hizo athari zitokanazo na sauti zilizozidi viwango.
View attachment 2650304
Amesema kongamano hilolitawajengea uelewa zaidi katika lile linalokusudiwa na kupelekea waumini na wananchi wote kuishi kwa amani na utulivu.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu NEMC, Dkt.Samuel Gwamaka amesema kwa kipindi hiki wamewalenga hasa viongozi wa dini pamoja na viongozi wa kimila hivyo amewataka wafiike wakiwa na vitambulisho vyao kwani wanahitaji kuwapatia elimu hasa wale ambao wamewakusudia.
View attachment 2650301View attachment 2650302
"Tunaamini kwamba kwa kutoa elimu hii inayohusiana na suala la mazingira katika maeneo mbalimbali yanayogusa jamii hasa kwenye masuala ya kiafya viongozi hawa watakuwa mabalozi wazuri kufikisha elimu hiyo kwa wale ambao wanawalea katika nidhamu". Amesema Dkt.Gwamaka.
Makelele yalitukera saana ,ninapoona hatua kama hizi zinachukuliwa napata faraja saana ,wanasiasa nawo wanapaswa kufahamu kuwa hakuna alie juu ya sheria kila mmoja anapaswa kufuata sheria za mazingira na sheria nyengine za Nchi
 
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) wameandaa kongamano la Kitaifa la kujenga uelewa kuhusu athari zitokanazo na sauti zilizozidi viwango katika nyumba za ibada litakalofanyika Juni 12,2023 Jijini Dar es Salaam.
View attachment 2650303
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Juni 8,2023 Mwenyekiti Taifa -Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Dkt.Alhad Issa Salum amesema katika Kongamano hilo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa hivyo amewataka viongozi wa wote wa dini na madhehebu yote kuhudhuria ili kuweza kupata fursa ya kuelewa na uelewa wa hizo athari zitokanazo na sauti zilizozidi viwango.
View attachment 2650304
Amesema kongamano hilolitawajengea uelewa zaidi katika lile linalokusudiwa na kupelekea waumini na wananchi wote kuishi kwa amani na utulivu.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu NEMC, Dkt.Samuel Gwamaka amesema kwa kipindi hiki wamewalenga hasa viongozi wa dini pamoja na viongozi wa kimila hivyo amewataka wafiike wakiwa na vitambulisho vyao kwani wanahitaji kuwapatia elimu hasa wale ambao wamewakusudia.
View attachment 2650301View attachment 2650302
"Tunaamini kwamba kwa kutoa elimu hii inayohusiana na suala la mazingira katika maeneo mbalimbali yanayogusa jamii hasa kwenye masuala ya kiafya viongozi hawa watakuwa mabalozi wazuri kufikisha elimu hiyo kwa wale ambao wanawalea katika nidhamu". Amesema Dkt.Gwamaka.
Kwenye hili ibidi tuwapeni Maua yenu #NEMC Mmefanya kubwa sana hili litakwendq kutoa elimu kwa wote na itakuwa ndo mwanzo na mwisho wa kelele mtaani kwani sasa kila mtu atakuwa keshapata elimu hivyo kazi zitafanyika kwa kufuata weredi na sheria pamoja na kanuni hii itasaidia kabisa kama sio kumaliza tatizo basi ni kupunguza tatizo
 
Ngoja tuone kama wataambiana ukweli, au wataoneana haya

Huku kitaa kelele kwa upande wa wakristo ni makanisa ya madhehebu yanayosali kwa mitindo ya kilokole na kwa waislamu ni misikiti inayoongozwa na watanzania 'waswahili/ngozi nyeusi' wenzetu ndio yenye kelele kupitia azana hususani asubuhi na maneno ya ajabu ajabu
Hapa NEMC wameupiga mwingi sana ,kelele zitokanazo na majumba ya sterehe lakini pia nyumba za ibada zipungue ,jamii iwe na utulivu
 
Back
Top Bottom