Wadau naomba msaada kwenye hii picha hapa. Mbona simuoni Adam & Hawa?
Mwenyewe nilikuwa sielewi mpaka nilipokutana na hii kitu
Screenshot_20230716-071349_Chrome.jpg
 
Ukiangalia utaona bibi na bwana wameondolewa kwenye podium ambayo amesimama Samia tofauti na ile ambayo amesimama Magufuli. Je kuna mabadiliko yamefanyika? Au kuna ujumbe gani hapa unatolewa?


Screenshot_2023-08-11-09-36-26-560_com.instagram.android~2.jpg
 
hapo chini si kama kuna alama ya majni ya karafuu, ndio kusema kaanza kuitoa znzbar kwenye nembo
 
Naona wameamua kuweka meno ya tembo kama sehemu ya kutangaza utalii

Ngoja wahusika waje watoe ufafanuzi
 
Wakati tunasoma uraia ninyi sijui mlikuwa wapi aiseee 😂😂😂😂

Hapo moja ya Raisi Ikulu, nyingine ya Taifa, sijui shida nini sasa
 
Back
Top Bottom