Najua kuna bendera ya Taifa na bendera ya Rais.

Ngao ya Taifa ni moja.

Hilo la kumwondoa bibi na bwana liangaliwe.
 
Ni tofauti, moja ni ya Taifa, nyengine ni ya Ikulu.

Hakuna jipya hapo.
😊😊😊
Ahsante sana kwa kuwatoa matongotongo hawa haters waliotongoka vya kukera kabisa. Wanawaza uhasama tu muda wote. Na huu ni ushahidi mdogo tu kuwa kuna meeengi mno huwa wanapotosha hawa. Inakera kuona migreat thinkers inaingia kichwakichwa tu na kushabikia wasichokijua.
 
Screenshot_2023-08-11-09-36-26-560_com.instagram.android.jpg
Mwana ana tochi ya kuzimu pajini. Unaambiwa Allah atawatambua watu wake paji likimulika gizani kama tochi huko kuzimu. Ila Mudi ana ngano, fiksi, saund za kuchekesha na za kitoto sana.

Covax Ami Kikwajuni One Accumen Mo
 
Ghafla tumeona Rais Samia akiwa amesimama kwenye Podium yenye nembo ya Tanzania iliyobadilishwa kwa kuondolewa watu wawili wanaoishikilia kimyakimya bila kufuata taratibu za Kikatiba na kisheria? Hiyo anayoitumia Rais wetu Samia hivi ni nembo ya taifa gani? Tumefikia huku kweli? Iko siku tutaamka na kukuta Tanzania sio yetu. Kwa wasiofahamu nembo ya Tanzania ina taratibu zake.
Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png
RAIS.jpg


Nembo ya Tanzania ni ngao ya askari inayoshikwa na watu wawili.

Ngao ina sehemu nne: juu sehemu ya dhahabu, chini yake bendera ya taifa, halafu sehemu nyekundu na chini kabisa sehemu ya buluu-nyeupe;

a) robo ya juu inaonyesha mwenge wa uhuru juu ya rangi ya dhahabu inayokumbusha juu ya utajiri wa madini ya nchi

b) robo ya pili ni bendera ya Tanzania

c) rangi nyekundu inamaanisha ardhi nyekundu ya Afrika na kilimo kama msingi wa maisha ya watu.

d) milia ya buluu na nyeupe katika robo ya nne inamaanisha mawimbi ya bahari na maziwa kwenye mipaka ya nchi pamoja na bahari inayozunguka Zanzibar kama sehemu ya Jamhuri ya Muungano.

Juu ya sehemu hizo kuna mkuki na majembe mawili yanayokumbusha juu ya utetezi wa uhuru na umuhimu wa kazi katika ujenzi wa taifa.

Ngao yote imeviringishwa na mapembe ya ndovu yanayomaanisha utajiri wa wanyamapori na hifadhi za taifa.

Ngao inalala juu ya mlima Kilimanjaro ambayo ni mlima mkubwa wa Tanzania.

Watu wawili wanaoshika ngao ni mwanamume na mwanamke kama dalili ya ushirikiano wa jinsia zote mbili taifani. Wanasimama juu ya mpamba na mkarafuu ambayo yote inatoa mazao muhimu ya kibiashara ya Tanzania Bara kwa pamba na Zanzibar kwa karafuu.

Kanda njano ya maandishi chini ya ngao huonyesha kaulimbiu ya taifa "Uhuru na Umoja".
 
Still ni ya tanzania, hii ni ya kuchonga na ile ni ya kuprint, muonekano ni uleule
 
Back
Top Bottom