kwenye hilo bango la ujenzi limejieleza vzr mkuu,wameanza na Phase 1 ya ujenzi kuanzia Kitunda-Kivule urefu ni Km 3.5, baadae itakuja phase 2,phase 3 n.kNeema ya barabara wale wa Kivule, Matembele Chakenke, Mkong'oto, Sirari, Frem Kumi, Mbondole mpaka Msongola
vituo vyote hivi ni km 3.5tu?
Soma bango vizuri project ina phase 3 pjase ya kwanza ni 3.5 kmNeema ya barabara wale wa Kivule, Matembele Chakenke, Mkong'oto, Sirari, Frem Kumi, Mbondole mpaka Msongola
vituo vyote hivi ni km 3.5tu?
kwenye hilo bango la ujenzi limejieleza vzr mkuu,wameanza na Phase 1 ya ujenzi kuanzia Kitunda-Kivule urefu ni Km 3.5, baadae itakuja phase 2,phase 3 n.k
phase n.k itaelekea Zimbabwehiyo phase n.k itakuwa km ngapi? kuelekea wapi?
mkuu kipande kinacho jengwa ni 3.2km kati ya 14+ kmNeema ya barabara wale wa Kivule, Matembele Chakenke, Mkong'oto, Sirari, Frem Kumi, Mbondole mpaka Msongola
vituo vyote hivi ni km 3.5tu?
progress
View attachment 588730
View attachment 588731
View attachment 588732
View attachment 588733[/QUOT
Hawa wakandarasi utendaji wao hauridhishi kwa sababu katika hatua Hii ya awali wanapotengeneza wamefunga barabara bila angalau kuboresha njia mbadala (diversion) hivyo wanasababisha usumbufu mkubwa kwani njia zinazotumika zote ni mbaya sana magari yanakwama. Tunatambua kabisa gharama za kuandaa njia mbadala (diversion) ni sehemu ya fedha za mradi (contruct sum), na hata Kama haimo katika ukadiriaji wa awali yaani katika BOQ italipwa tu baada ya kudaiwa na mkandarasi Kama variation.
Wamevurunda miradi ipi mkuu? Hii kampuni ni kongwe tangu miaka ya nyerere na imesajiliwa class one na crb kitu ambacho inaweza kufanyakaz ya barabara kiwango chochote (unlimited). Hii kampuni iko based moshi na imefanya miradi mingi ya lami moshi, tanga, arusha, dar nk. Msichanganye na singh wa IPTL! Miradi mikubwa ya ujenz huwa inakuwa na consultants ambao mara nyingi huwa ndio wanaopelekea mirad kuwa na makosa au kasoro. Mfano ishu ya kajima kwenye barabara ya mbagala. Kuhusu duration kuwa ndefu kama mdau alivyohoji hapo juu mara nyingi ni upatikanaji wa fedha, na hapa ndipo tunapopigwa sana na wakandarasi wa nje, unakuta tumetenga bilion tano kwenye bajet alaf tuna award kaz ya bilion 100 matokeo yake tunalipa riba kubwa ya ucheleweshaj malipo. Over!hakika kwani walishavulunda sana miradi mingine, hakukuwa na haja ya tanroad kuwapa mingine
nimekupata mkuu, nilichanganya na wale wa IPTLWamevurunda miradi ipi mkuu? Hii kampuni ni kongwe tangu miaka ya nyerere na imesajiliwa class one na crb kitu ambacho inaweza kufanyakaz ya barabara kiwango chochote (unlimited). Hii kampuni iko based moshi na imefanya miradi mingi ya lami moshi, tanga, arusha, dar nk. Msichanganye na singh wa IPTL! Miradi mikubwa ya ujenz huwa inakuwa na consultants ambao mara nyingi huwa ndio wanaopelekea mirad kuwa na makosa au kasoro. Mfano ishu ya kajima kwenye barabara ya mbagala. Kuhusu duration kuwa ndefu kama mdau alivyohoji hapo juu mara nyingi ni upatikanaji wa fedha, na hapa ndipo tunapopigwa sana na wakandarasi wa nje, unakuta tumetenga bilion tano kwenye bajet alaf tuna award kaz ya bilion 100 matokeo yake tunalipa riba kubwa ya ucheleweshaj malipo. Over!
karibu pm mkuu, ninavyo pia nina kibanda changu nakiuza 25milViwanja bei gani huko?..
Kuna jamaa yangu alikuwa anahitaji, nitamcheki akiwa tayari tutawasiliana mkuu.karibu pm mkuu, ninavyo pia nina kibanda changu nakiuza 25mil