Neema ya barabara wale wa Kivule, Matembele Chakenke, Mkong'oto, Sirari, Frem Kumi, Mbondole mpaka Msongola

09d67edb602fcfae0c6cc94f3fbdcd87.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hii safi sana. Nitaipita hiyo kuelekea mvuti shambani kwangu.
 
Mkuu Nguzo
Kwasasa Haifai Yaani Mkandarasi Hayupo Site Njia Imechimbika Sana Kwa Mvua
 
Yaani Ukifika Kitunda Kuna Ile Semi Iliyobeba Ile Catapillar Ipo Juu


Njia Kaichimba Sana Halafu Inasemekana Hana Vitendea Kazi Yule Anaharibu Gari
Viongozi pia hawasomeki, mwaka huu shida ya usafiri inaanza mapema.
 
miradi mingi sana ya barabara hua inasumbua sbb ya malipo kutokua kwa wakati.. hakuna mjenzi anaetaka akae site miaka 5 kwa barabara ya kilomita chache hivyo... ila tanzania tu ndo unashangaa mkandarasi yupo site ya barabara ya km chache miaka kibao... paka na mtaji unaisha bank wanamkalia kooni na pressure juu!
 
Nimewahi Fanya kazi na hii harising & Sons wapo vizuri; Mzee Jindey yupo vizuri na vijana wake! Nilikimbia mshahara mdogo lakini kiutendaji kiasi mitambo anayo ingawa ni mikuukuu! Kwa Mradi mdogo kama huo anastahili, kwenye miradi mikubwa Mara nyingi huchukua Subcontract....pamoja na kampuni nyingine kama DelMonte
 
hao wanaitwa hari Singh and sons, wapo mikocheni wanadeal na road construction hawana uhusiano na Singh wa IPTL, usiwe mjinga! kila neno Singh we unawaza wa IPTL
Safi sana, tatizo kuna watu wanajiona wanafaham kila kitu,
 
BarabaraYa Mombasa Ina Bajaji Hadi Zinafanya Kuonekane Kuna Foleni Yaani Ukitaka Kuingia Highway Foleni Inakuwa Zaidi Ya Uefa Pub
Kutoka Mombasa mpaka Moshi Bar ni about 4kms Tarmac road. Wanapakia abiria wanne mara nyingi kwa 500 kama nauli per head. Kwa huo umbali mfupi nadhani ndio maana Bajaj zimejaa
 
Back
Top Bottom