Neema ya barabara wale wa Kivule, Matembele Chakenke, Mkong'oto, Sirari, Frem Kumi, Mbondole mpaka Msongola

Yaani kwa kweli tumefrai sana rami inapit apa kwetu matembele ya pili a.k.a kwa nabii suguye YAAN Adi raha coz mvua zikinyesh apa ni mtihan kutok aseee
 
Neema ya barabara wale wa Kivule, Matembele Chakenke, Mkong'oto, Sirari, Frem Kumi, Mbondole mpaka Msongola

vituo vyote hivi ni km 3.5tu?
kwenye hilo bango la ujenzi limejieleza vzr mkuu,wameanza na Phase 1 ya ujenzi kuanzia Kitunda-Kivule urefu ni Km 3.5, baadae itakuja phase 2,phase 3 n.k
 
Neema ya barabara wale wa Kivule, Matembele Chakenke, Mkong'oto, Sirari, Frem Kumi, Mbondole mpaka Msongola

vituo vyote hivi ni km 3.5tu?
Soma bango vizuri project ina phase 3 pjase ya kwanza ni 3.5 km
 
Watu wa Msongola tunataabika sana na usafiri wa kwenda Dsm City center kwa sababu hakuna basi la kutoka huku mpata town!!

Yaani wakazi wa Msongola tunalazimika kupitia Mbagala ili kwenda mjini japo ni mbali sana lakini ndiko kwenye hakika ya usafiri!!

Kwa hili niipongeze serikari japo mimi niko upande wa Chadema!!

Tuanoishi Msongola tunaamini barabara hii ikiisha tutapata root za kwenda sehemu mbalimbali jijini kutokea huku!!
 
Aaaaahhhhhhh afadhali.
Maana nilipanga nisihamie home mpaka ninunue usafiri.
Sasa nadhani hata daladala naweza kusukumwa nayo.
Natumaini muda si mwingi GEREZANI TO KIVULE routes zitaanza.
Ila bado siiungi mkono CCM
 
progress
View attachment 588730

View attachment 588731

View attachment 588732

View attachment 588733[/QUOT
Hawa wakandarasi utendaji wao hauridhishi kwa sababu katika hatua Hii ya awali wanapotengeneza wamefunga barabara bila angalau kuboresha njia mbadala (diversion) hivyo wanasababisha usumbufu mkubwa kwani njia zinazotumika zote ni mbaya sana magari yanakwama. Tunatambua kabisa gharama za kuandaa njia mbadala (diversion) ni sehemu ya fedha za mradi (contruct sum), na hata Kama haimo katika ukadiriaji wa awali yaani katika BOQ italipwa tu baada ya kudaiwa na mkandarasi Kama variation.
 
hakika kwani walishavulunda sana miradi mingine, hakukuwa na haja ya tanroad kuwapa mingine
Wamevurunda miradi ipi mkuu? Hii kampuni ni kongwe tangu miaka ya nyerere na imesajiliwa class one na crb kitu ambacho inaweza kufanyakaz ya barabara kiwango chochote (unlimited). Hii kampuni iko based moshi na imefanya miradi mingi ya lami moshi, tanga, arusha, dar nk. Msichanganye na singh wa IPTL! Miradi mikubwa ya ujenz huwa inakuwa na consultants ambao mara nyingi huwa ndio wanaopelekea mirad kuwa na makosa au kasoro. Mfano ishu ya kajima kwenye barabara ya mbagala. Kuhusu duration kuwa ndefu kama mdau alivyohoji hapo juu mara nyingi ni upatikanaji wa fedha, na hapa ndipo tunapopigwa sana na wakandarasi wa nje, unakuta tumetenga bilion tano kwenye bajet alaf tuna award kaz ya bilion 100 matokeo yake tunalipa riba kubwa ya ucheleweshaj malipo. Over!
 
nimekupata mkuu, nilichanganya na wale wa IPTL
 
Mie kwangu nikiona contractor wa kichina naudhika sana,tuliambiwa miradi ya less than 10bln wapewe wazawa original sio hao wazawa uchwara au wachini.Serikali ya ccm ijali kukuza wakandarasi wazawa utaalam na uzoefu wanao tatizo huwa ni mtaji so guarantee watoe wenyewe serikali,tutaendelea kulima roads za vumbi hadi lini ?
 
Back
Top Bottom