NECTA Yabadilisha Viwango vya Ufaulu Form 6, DIV I Mwisho point 7

NECTA kupanga upya viwango vya ufaulu kwa elimu ya secondari itasaidia pia itakuwa ni chachu ya kuinua ubora na kupima uwezo wa akili kwa maendeleo ya mwanafunzi!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
ni yale yale mana na grade si zimeshuka?

Ni kweli mkuu grade zimeshushwa sana thamani ukilinganisha hata na walivyobana pointi ya madaraja. Kwa hiyo kwa kuzingatia kushuka kwa thamani ya A, B C na D ni yale yale tu ya wale wale tu
 
Acheni uongo grade hazijashuka.

Mkuu kama mwaka 2012 C ilikuwa inaanzia 50-64 lakini sasa ni 40-49, B ilikuwa 64-79 na sasa ni 50-59, je hapo grade zimebadilika au hazijabadilika? Taarifa ya Wizara imeweka wazi mambo hayo mkuu hapa hakuna uongo. Fungua hiyo link uone alama za gredi za zamani na alama za gredi mpya.

Bado hata kwa kupunguza wigo kiasi hicho lakini wanafunzi wamepewa unafuu sana na ni wazi watakaopata I na II watakuwa wengi zaidi kwa alama zitakazotumika

http://www.moe.go.tz/index.php?option=com_docman&task=doc_download&gid=305&Itemid=622
 
ndg yangu kashaijabutege. umepost kwa mahaba kwamba grade hazijashuka. kama huwezi kuona fact ndogo kama hiyo sijui unaweza nini? "no research no right to speak"
 
Elimu iko kwenye mapito na ndiyo maana hata haya mabadiliko ya alama kila siku yanadhihirisha mapito hayo under BRN
 
Ni kweli mkuu grade zimeshushwa sana thamani ukilinganisha hata na walivyobana pointi ya madaraja. Kwa hiyo kwa kuzingatia kushuka kwa thamani ya A, B C na D ni yale yale tu ya wale wale tu

zamani mtu akipata d na e anapata chuo je kwa vigezo vipya ufaulu unakuaje?
 
Wamewauwa wengi, inakuwaje haya yaje baada ya form six kufanya mitihani?.
au ndo kuwabana wanafunzi wapitikane wachache kwa kuwa mfuko wa roan ni mdogo?
why amendmend daily?
 
NECTA imefilisika hakuna watu wenye uwezo wa kufikiri ndiyo maana kila siku wanakuja na mambo ya hovyo kesho yake wanayabadili na kuleta ya hovyo zaidi. Usishangae hata hivyo viwango vikabadilishwa baada ya mwaka. NECTA ni muflisi kabisa
 
Da jaman haya yote 2mewasafixhia njia cc ambao 2lmalzaga 2012 Waljfanya wanaborexha elimu kumbe uxenge 2nakubal kw ufala
 
Back
Top Bottom