Ndugu zangu wa Kike Huwa najiuliza Eti Kwanini...?

Ustaarabu wa nyumbani kwako hauwezi kuuweka na mitaani, utajichosha tu! Si ajabu hata mie nisipendezwe na mavazi yako pia. Take it easy, heshimu choices za watu, kama hawajakuvutia wewe kuna anaevutiwa. Hebu jitie stress umeme umepanda bei, ada za shule, bei ya nishati n.k, itakusaidia zaidi.
 
kiukweli kabisa haya mavazi hayakuwa utamaduni wetu! lakini sasa mambo yamebadilika ni kama tumebadili utamaduni.haya mavazi yamekuwa ndio fashion za kisasa na imeonekana yanavutia sana.ushauri wangu kwako, kama kutokana na imani yako unaona haya si maadili, usipende sana kuangalia, au kuwafikiria sana watu waliovaa hivyo,utamkaribisha shetani zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom