Ndugu yangu ukipata fursa tembelea Ethiopia hakika hutajutia nauli yako

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,252
4,832
Wadau hamjamboni nyote

Karibuni tujadili
 
Attachments

  • 1701443931125.jpg
    1701443931125.jpg
    106.2 KB · Views: 8
Angalia vizuri unaona wanafanana na hawa wa kwetu kweli?
Ni lineage ile ile mkuu ukifuatilia historia zao.. Ukimchukua mkushi wa Ethiopia na mbulu ambaye hajachanganya damu ni watu wale wale

Ni sawa na umchukue muhaya na mganda hasa wa buganda au banyoro. Hawana tofauti

Kikubwa tu asiwe amemix japo ni ngumu kwetu tofauti na jamii zenye msimamo mkali wa kutochanganya damu kama watusi ndio maana sura zao asili hazipotei
 
Sasa hao cushites wa ethiopia si ndio hawa hawa wambulu, wanyiramba na wanyaturu. Au umeona tofauti gani mkuu

Ila pia watu wasafiri hadi ethiopia kwa ajili ya sex tour
Nasikia Katibu Mkuu CCM tayari. Ni kutoka kambi ipi Msoga, White Hair au Chato?. Kama nimekosa Jukwaa, Kumradhi.
 
Wadau hamjamboni nyote

Karibuni tujadili
Wanazeeka haraka sana na wakizeeka Huwa na sura mbovu hatari

Spidi Yao ya kuzeeka kubwa kuliko wanawake watanzania walio wengi
Mleta mada usilete balaa Tanzania halafu unakuja kutelekeza mtoto wa kike wa watu muethiopia akishazaa mtoto mmoja tu akakongoloka

Wana cell za kuzeeka spidi Kali wakiwa wasichana waweza changanyikiwa Kwa uzuri walionao
 
Kwani DONGOBESH ulichukuwa sampo?
 
Hizo uniform zimenijulisha tu wapo job on training kwa ajili ya kurusha ndege. Kwa hiyo hapo ni first officers wannabes
 
Back
Top Bottom