Ndugu yangu acha kujitanua ofisini kwako rudi haraka nyumbani kwako mkeo analiwa

Kama utabahatika kusoma uzi huu kabla mods hawajauondoa basi itakuwa heri kwako.

Ndugu yangu member mwenzangu wa jamii forum na jirani yangu mtaani rudi haraka home kwako muda huu kuna njema imezama ndani kwako kama kawaida yake kila ukiondoka lazima izame.

Ndugu yangu unayemiliki kigrosari pale Ilala Boma. Na unayeendesha gari aina ya Noah nyeupe na ofisi yako binafsi ambayo ni private ipo palee maeneo ya Manzese kwa Bakharesa fanya hima urudi kwako muda huu kwani yule jamaa unayeambiwaga na yule mama jilani yako mwenye nyumba nyekundu ambapo nje kuna mafundi kushona kaisha zama tayari.

Najua umeshajijua kwani si Mara ya kwanza kupewa taarifa hiyo. Ulishapewa taarifa hii na rafiki wa mkeo, ukapewa taarifa hii na yule dobi rafiki yako kipenzi ambaye anafanyie kazi zake pale kwenye kituo cha matrafiki unapoendaga kila siku jioni.

Ila cha ajabu kila ukiambiwa unabisha na kuzua zogo kubwa ukidai mkeo ni muaminifu sana hawezi kuingiza mwanaume ndani.

Mkuu nimekosa namna ya kukuambia maana nimekupm sijaona matokeo yoyote nimetafuta kila namna ya kukupa habari hii nimeshindwa kwahiyo nimeamua nitumie jukwaa hili kwani najua wewe ni member wa humu ndani.

Mkuu jamaa mwenyewe anayekuchukulia mkeo ni yule unayefanya nae biashara ya mbao.

Najua hayanihusu ila mkuu mke anauma na pia kuna magonjwa mengi siku hizi na pia shemeji anakuahibisha mtaani.

KAMA UTAWAHI KUSOMA UZI HUU KABLA MODS HAWAJATENDA KAZI YAO BASI ITAKUWA VIZURI SANA.

MKUU USIPUUZE TAFADHALI.
mkuu unajua kukusanya data, vipi laki tano yako K karudisha au bado
 
kwa shuhuda hizi za jf. sometimes nafikiria nisioe kabisa. fikiria kuna linjemba linamla mkeo afu kwenye chumba chako kabisa.
mbaya zaidi unakuta lijamaa ni fundi kukuzidi wewe. linamkamua kisawasawa mkeo.

wewe unarudi jioni kutoka kazini kutafuta hela za familia, umejichokea unapiga bao moja umelala usingizi mzito. mkeo anaendelea kuchati na lijamaa linalojua kukuna vizuri mbele na nyuma (tigo).



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Then you better mind ur own business first.Kama umeoloewa na umeshaikatia tamaa ndoa yako au umeshindwa kuipambania kwenye masuala kama haya kwa kigezo cha "mind ur own busns", then that is yours.
Acha watu wenye uchungu na wenza wao waendelee kutafuta namna ya kunusur ndoa zao na wenzao kwa kuwahabarisha kama hiv.
Mke anauma.Ndio nyie mnaokuwaga wa kwanza kulaumu wenzenu pind mnapokuwa betrayed halaf mnakuja kushtuka too late while ur closed ones were aware abt wht was going on...ila hamuambiwag ukwel kwa kujifanya hampend maneno ya kusikia et umbeya
Ndio imeniuma naomba uniletee kijiko vasi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Then you better mind ur own business first.Kama umeoloewa na umeshaikatia tamaa ndoa yako au umeshindwa kuipambania kwenye masuala kama haya kwa kigezo cha "mind ur own busns", then that is yours.
Acha watu wenye uchungu na wenza wao waendelee kutafuta namna ya kunusur ndoa zao na wenzao kwa kuwahabarisha kama hiv.
Mke anauma.Ndio nyie mnaokuwaga wa kwanza kulaumu wenzenu pind mnapokuwa betrayed halaf mnakuja kushtuka too late while ur closed ones were aware abt wht was going on...ila hamuambiwag ukwel kwa kujifanya hampend maneno ya kusikia et umbeya

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwamba mume ni mwema sana?unajua maisha Yao ya ndani?

Kati ya kitu sitakuja kuingilia na ndoa ya mtu
Acha wasalitiane wakukuruke mpaka watakopoona imetosha

Walikutana wenyewe wakapendana wenyewe.
Huko ndani wanajuana wenyewe
 
Hapana..nimeongelea kulingana na context ya mada husika kwamba mume ndio anae habarishwa hapo.
Lakin hii haina maana kuwa yy ni decent but, bila kujal nan kati yao , mume/mke anauma.
Na kwa mwenye mapenz mema na hasa sis wana ndoa inauma pindi unapoona mambo kama haya yanafanyika.
Hatuwez kuyazuia haya , lakin moja kati ya vitu vinavyoshusha sana morali ya vijana kuoa/ kuolewa ni matukio kama haya yanapokua common kwenye jamii.
Sio guaratee kuwa ukioa /ukioloewa ndio ticket ya maisha mazur ya furah na aman lakin ndoa ni kitu muhim sana hasa kwa habar ya kuu da kizaz bora chenye nidham na uzalendo.Malez toka ngaz ya familia yana impact kubwa mpaka tunapofika kwenye level ya masuala ya kitaifa.
Huwez tegema taifa bora lenye misingi mizur kimaadil kama familia ziko choka mbaya hoi bin taaban.

Na mambo yanayo changia kuharib ustaw wa jambo hil ndio mambo kama haya ya usalit kwenye ndoa.
Acha watu wawahabarishe wenzao.
Kwamba mume ni mwema sana?unajua maisha Yao ya ndani?

Kati ya kitu sitakuja kuingilia na ndoa ya mtu
Acha wasalitiane wakukuruke mpaka watakopoona imetosha

Walikutana wenyewe wakapendana wenyewe.
Huko ndani wanajuana wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom