Ndugu Mkullo ,Shaffiq & Hannif brothers hawalipi kodi , je ulijua haya ?

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Ndugu Mkullo
Salaam sana toka Tarime kupitia hapa JF,
Baada ya tetesi kwa muda sasa na hatimaye upepelezi wangu umekamilika .Na kwa kawaida JK kazi yetu ni ku set agenda baada ya kuwa tumejiridhisha na kuipa Serikali taarifa .Kama ndiyo hivyo basi leo naleta taarifa kwako na wengineo wote serikali kwamba hawa brothers hawalipi kodi ya Serikali pamoja na kufan ya biashara kubwa mno ya kuchapisha hapa Tanzania .Hawa jamaa wana kampuni yao inaitwa DTP na ofisi zao ziko pale Voctoria .

Kitu kizuri kimoja ni kwamba wamekataa kutokuwa 10% ili wapate kazi lakini sasa wamekuwa muda muda hawalipi kodi na hata sasa ukifika ukaomba risiti utapewa ambazo hazina rekodi na wana fyatua hapo hapo .

Ukiwa na kazi wanakupunguzia kwa kuwa watakushawishi usiombe risiti maana hawana na ukiitaka sana watakupa ila watakuumiza bei .

Ushahidi ninao na nimebaki kushangaa kwamba ni kweli inawezekana kuna mkono wa mmoja wenu huko juu ndiyo maana hawa wahindi wanapeta hivi au ni bahati mbaya wanaiibia serikali nanyi hamna habari ?

Wazalendo wengine wa JF naamini sasa mtaanza kuelekea huko na kujua haya ninao yasema na Serikali sasa na hasa TRA karibuni kule mjue kama nisemayo ni ukweli ama uongo .

Ninaufungua mjadala .
 
Lunyungu at it again......
 
Masatu naye; huangalii hoja unaangalia mtoa hoja!

U r right kuna wachangiaji wengine huna haja ya kusoma walichoandika, jina na heading vimetosha kujua watachaondika, believe me Lunyungu is very consistence on this, never let me down!
 
kwi kwiw kwiwiwiwiwi!!
 
U r right kuna wachangiaji wengine huna haja ya kusoma walichoandika, jina na heading vimetosha kujua watachaondika, believe me Lunyungu is very consistence on this, never let me down!

Baada ya utani sasa mkuu let us dwell kwenye hoja iliyoko hapo.Hebu at once tuwe wazamiaji wa hoja na tuujue ukweli .Mie nina nondo tayari na naomba sasa TRA na Mkullo wajue hilo .

Asante Masatu kwa micky zako lakini ndiyo tunaenda hivyo
 
Mwanawane mwaga basi hizo nondo tuserebuke nazo.... by the way hows Tarime?
 
Weka evidence zako wenye ofisi zao huko TRA watweza kuwashughulikia vizuri ama find your own insider huko TRA mkabidhi mambo afanye kazi otherwise watahonga tuu na kukwepa kodi wataendelea!
 
Hao tone la maji katika bahari,hivi hawa tra wanajua kinachoendelea huku kwenye mahoteli ya kitalii?huku mbugani?wanajua ni vyumba vingapi vinatumika perday?wageni kiasi gani wanalala?wanajua kua vilevi vumikavyo huku havina hata hio stika yao ya tra?
 
Umeshaona tangazo la TRA! barabara nzuri zinajengwa na kodi yako(nafikiri hii wanaongelea za mjini)

Laiti kama tra wangekuwa makini na utaratibu wa kodi ukawa salama na huku matumizi yake yasiishie kununulia magari ya wakurugenzi basi hata huku kijijini ninakoishi barabara hizi za msimu zingekuwa hadithi

MKIKUBALIANA KWA KILA KITU BASI MAKUBALIANO YA HADITHI ZA MAPENZI
 
Lunyungu una vielelezo?

Mwaga hapa hizo risiti...maana kubuni Hukawii...

Pia Tufahamishe Hatua gani umechukua hadi sasa kisheria?

labda nikuulize swali...kwa ushahidi wako kwanini umeona Mkullo ndio Responsible kuliko Mkurugenzi wa TRA au Maofisa wa TRA?
 
Isipokusanywa inapunguza idadi ya wapiga kelele.

.

Bado kuna wanao taka ushahidi juu ya hili nibandike risit jamani ? Hivi hawa wahindi na kwa niliyo yasema na wanajulikana kwa nini basi makachero wa TRA wasinitafute niwape issue ama wavamie wenyewe waone ?
 
ahahahah Lunyungu,
TRA watakuja kwako kama huyo mtu ni against SISI M na kwa hiyo nasikia kazi yao ni kufilisi wafanya biashara walio against ufisadi.
Lakini kwako na fununu hizi hawaji ng'o. Kama nasema uongo subiri kama watakuja, ingawa najua wako humu jamvini pia!
 
....Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!! wizi mtupu kila kona ya nchi
 
Hawawezi kwenda kwao maana wanajua kuna baadhi ya mawaziri huwa wanafika pale kuvuta chao na mwisho wana fadhili chaguzi za CCM na hili hawawezi kupinga .Charles Charles ana ushahidi mzuri sana wa hili .
 
Back
Top Bottom