Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,455
- 12,328
jf ina vijana wafukunyuku dooh😂Huu Uzi nimeusoma Tena Leo . sijui watu eanasemaje. Maana Dudu bays kamwaga mboga.
jf ina vijana wafukunyuku dooh😂Huu Uzi nimeusoma Tena Leo . sijui watu eanasemaje. Maana Dudu bays kamwaga mboga.
Aisee huyo jamaa na yeye kwanini aliamua kuwa mtangazaji wakati anajua kuwa anatafunwa " bora angekuwa anafanya kazi nyingine ambazo hazimfanyi mtu kuwa maarufu katika jamii yote " ona sasa umaarufu unavyomletea shida " sasa hivi karibia watu wote wanajua kuwa ni punga ".... masikini mke .watoto. na ndugu zake sijui wanajisikia vipi huko walipoKijana Harris Kapinga,
Kwa kweli sikufahamu wala hivyo vipindi vyako huku niliko havisikiki,ila kuhusiana na issue ya kukamerouniwa hapo kama ni kweli basi, acha mara moja mrudie mola wako wa kweli, TUBU na cahana nahuo upuuzi.
Kutinda nyusi ni ulimbukeni wako tu so unaweza kuendelea nao au kuacha,
Ila huko kuwa BWABWA ndio balaa, ACHA.
HahaaaMmh basi juzi baada ya kusoma habari hii nilipishana naye pale Mugabe, basi mbele yake kulikuwa na gari kama limeziba njia kiaina, basi HK alimtazama kwa dharau sana yule kaka na Mark II yake. Mhh nikasema kalidharau gari au dreva wa gari. Nadhani alidharau dreva, manaa gari yake mwenyewe ilikuwa hizi ''baby walker'' za siku hizi ambazo kwetu Kimara ukikwama kwenye pothole vijana watano wanainyanyua juu na kukuvusha huku wewe na mkeo mkiwa ndani yake......
ndiye huyo huyo mliwa kifusi " mbona hizo habari zipo miaka mingi sanaPresha imenipanda kwa kweli, harris huyu nayemjua mie? Au nimemchanganya? Sio yule wa Terminal?
Aisee ... kazi kweli kweliMe nimesoma st.marry's huyu harris alikua ameajiriwa kama msimamizi wa ma bweni alikua na tabia za kike na alikua akitongoza wanafunzi wa kiume so huyu ni kweli ni shoga hasingiziwi na ndio maana alifukuzwa radio tumaini,wapo,kaenda cloudsfm kwa wenzake
duhh !! hahaaaKuwa na famili sio kigezo
Kuna rafk angu nimesoma nae chuo kazaa na shoga
Tena alikuja kujua baada ya kwenda kwake bila taarifa ucku akakuta mumewe kainamishwa na mwarabu
Isiwe kweli eh.... uzi wa miaka 7. Na kunaowaliosema wamesoma naye na alikua anahayo mambo. Endelea kumuombea isiwe kweliMhhh makaburi............ ,ila dah huyu jamaa naomba isiwe kweli,yaani dah.... eee Mungu waokoe waja wako.
Sometimes kaushirikina kanahusika hapoKaka kujipenda hadi ukatinda nyusi kama mwanamke mmmmh hapo pana ulakini, sio kila punga hana uwezo wa kuzalisha miaka ya 90's nimefanya kazi kwenye shirika moja la umma kulikuwa na bwana mmoja anafanya kazi na mkewe offisi moja amini usiamini huyo papa alikuwa punga na chakuchelesha alikuwa anatembea na mwamnaume mwenzie wanaefanya kazi wote na mkewe nae akawa anatembea na mtu wa hapohapo kazini.
Kitu walichokifanya ni wale waliokuwa wanatembea na mke na mme wakawa marafiki sasa mmoja wao akiwa na hamu na mpenzi wake wanapanga kila mtuanamchukua wake wanatoka ila yule anaye tembea na mama anakuwa wakwanza kumrelease mama ili asishtukiwe then baada ya saa moja baba nae anaruhusiwa kurudi nyumbani. na hii habari karibu watu wote walikuwa wanajua pale ofisini ila kwao iliwekwa kama siri kubwa sana, huyo mama alizaa watoto 3 na huyo baba ambaye ni mume wa ndoa ya kanisani. hivyo basi usimsemee mwenzio kwani hujui undani wake
Vip kuhusu izo Tetesi mtaanimnamchafua tu kaka wa watu.kutinda nyusi ni part of grooming...mikaka ya jf inadhani kuwa wachafu wachafu na kunukia kibeberu beberu ndio uanaume!,harris be yourself mwaya....haya maneno hayapunguzi kitu chochote kwako.....ila tu be cautious kwa mtu anayekutinda nyusi mwambie asipunyue sana kama wadada,wanaume zinabaki kuwa nzito kidogo...ndivyo nilivyoona hapa ulaya.
hamna hata mmoja aliyekuinamisha au aliyekuona unainamishwa,,kutinda nyusi doesnt prove you are gay achana nao washamba washamba hawa!!!
Hadi nimesisimkaKaka kujipenda hadi ukatinda nyusi kama mwanamke mmmmh hapo pana ulakini, sio kila punga hana uwezo wa kuzalisha miaka ya 90's nimefanya kazi kwenye shirika moja la umma kulikuwa na bwana mmoja anafanya kazi na mkewe offisi moja amini usiamini huyo papa alikuwa punga na chakuchelesha alikuwa anatembea na mwamnaume mwenzie wanaefanya kazi wote na mkewe nae akawa anatembea na mtu wa hapohapo kazini.
Kitu walichokifanya ni wale waliokuwa wanatembea na mke na mme wakawa marafiki sasa mmoja wao akiwa na hamu na mpenzi wake wanapanga kila mtuanamchukua wake wanatoka ila yule anaye tembea na mama anakuwa wakwanza kumrelease mama ili asishtukiwe then baada ya saa moja baba nae anaruhusiwa kurudi nyumbani. na hii habari karibu watu wote walikuwa wanajua pale ofisini ila kwao iliwekwa kama siri kubwa sana, huyo mama alizaa watoto 3 na huyo baba ambaye ni mume wa ndoa ya kanisani. hivyo basi usimsemee mwenzio kwani hujui undani wake
jf ina vijana wafukunyuku dooh😂