Ndugai: Mawaziri kutokuwepo Bungeni wakati hoja inajadiliwa ni Sawa!

Mawaziri kuwa Bungeni ni kupoteza wakati. Hawaruhusiwi kuzungumza bila kuombwa kufanya hivyo na mnadhimu wao Mh. Lukuvi. Wenye manaibu hawazungumzi moja kwa moja labda kama naibu akishindwa kujibu hoja. wakati bunge linaendelea kazi nyingne za serikali zinaendelea na zinatakiwa ziendeshwe na mawaziri hao hao. Ndiyo maana naamin katik katiba mpya tukomeshe mawaziri kuwa wabunge. na tukomeshe utitili wa mawaziri, wawe 22 kama ilivyo Kenya au kiboko yake Marekani 15 tu wanatosha.
 
Hiki ni kielelezo tosha kuwa Wizara hii haina umuhimu ambao Viongozi walio wengi hupenda kuwadanganya walalahoi kuwa taifa hili uti wa mgongo walo ni Kilimo.
Haiwezekani kama Kilimo ndiyo uti wa mgongo wa taifa hili wawemo mawaziri wasiofika 15 wakati Baraza zima lina Mawaziri 56. Wabunge ndiyo usiseme, viti tunaviona vinavyokuwa tupu. Viongozi wetu wataendeleza unafiki hadi lini?
 
Nimeona mabunge yote ya Jamuhuri ya MUUNGANO Tangu enzi za kina Semindu Pawa, Byeitima, Brycon, Kimbau, Lubereje na hata kina Mrema, Gama na Kadhalika. Sasa tuna wabunge wanafanya lolote bila kwa na heshima wala mipaka. Rais wa nchi anatukanwa, Spika anadhalilishwa na kila anachofanya bungeni wao wanakimbilia Mwanza, Arusha na Iringa kuitisha maandamano kujibu yaliyojili bila kutoa haki kwa wanaowasikiliza nao kupata habari ya upande wapili. Sasa hii ya LEMA NA MSIGWA NI KALI. MSIGWA YEYE ANAJIITA MCHUNGAJI. MIMI KAMA MKRISTO NAAMINI MCHUNGAJI HAWEZI KUDANGANYA MAANA NI DHAMBI KUBWA. LAKINI YEYE AMEHUTUBIA IRINGA NA KUMTAJA HADHARANI MHE. IBRAHIM KINANA KUWA NDIYE ANAMALIZA TEMBO KWA KUUZA MENO YA TEMBO TANZANIA. SINA HAKIKA KAMA KUNA SHAHIDI KIASI GANI MAANA HII NI KOSA LA JINAI. NI KAMA KATIBU WA CHADEMA ALIPODAI KULE TABORA KUWA ETI RIDHWANI KIKWETE ALIKUWA AMESHIKILIWA CHINA KWA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA NA KIKWETE ALISAFIRI KWENDA CHINA KUMNUSURU. LAKINI KITUKO WAKATI ANADAI HAYO MAMBO RAIS ALIKUWA KWENYE SHUGHULI NYINGINE NA KIJANA HUYO WA RAIS ALIWEZA KUDHIBITISHA KUWA HAJAWAHI HATA KUFIKA CHINA.
LEMA NAYE AMESIMAMISHWA BUNGENI SASA AMEKWENDA KULETA UCHOCHEZI WA KISIASA KATIKA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA. HHAIINGII AKILINI MAANA CHUO CHA UHASIBU KIPO CHINI YA WIZARA YA FEDHA NA HAKUNA KWA NAMNA YEYOTE MBUNGE ANAWEZA KUINGILIA MAMBO YA CHUO KAMA HICHO. WABUNGE WAUPINZANI NA VIONGOZI SOMENI ALAMA ZA NYAKATI. KILA NIKIANGALIA JUU NIKAANGALIA CHINI NIKAANGALIA KUSHOTO NA KULIA NAONA KABISA YALIYOMKUTA RAILA ODINGA KWENU ITAKUWA MARADUFU NA MWISHO WA UPINZANI NCHINI. NENDENI TARATIBU NA MUWE WAKWELI NCHI HII HAIWEZI KUFANYA MAKOSA YA KUWEKA MADARAKANI VIONGOZI WA MIZAHA NA UONGO WA KISHAROBARO
 
acha kuleta ukada kama wana vunja katiba au sheria c waende mahakamani we unaona sawa wanavyotendewa bungeni mbona wabunge wa ccm wametukana hawajachukuliwa hatua wapinzani wanawashitaki kwa uma mnalalamika na kusema wanavuruga amani ni wapinzani wanafanya vurugu lindi hebu acha kuleta propaganda kwa great thinker
 
mkuu inasikitisha sana, imefikia mahali tuwe na sheria za kulimit mikutano ya siasa, maana hii imekua too much, hakuna tena muda wa kufanya kazi, siasa zimetawala
 
Nimeona mabunge yote ya
Jamuhuri ya MUUNGANO Tangu enzi za kina Semindu Pawa, Byeitima, Brycon,
Kimbau, Lubereje na hata kina Mrema, Gama na Kadhalika. Sasa tuna
wabunge wanafanya lolote bila kwa na heshima wala mipaka. Rais wa nchi
anatukanwa, Spika anadhalilishwa na kila anachofanya bungeni wao
wanakimbilia Mwanza, Arusha na Iringa kuitisha maandamano kujibu
yaliyojili bila kutoa haki kwa wanaowasikiliza nao kupata habari ya
upande wapili. Sasa hii ya LEMA NA MSIGWA NI KALI. MSIGWA YEYE ANAJIITA
MCHUNGAJI. MIMI KAMA MKRISTO NAAMINI MCHUNGAJI HAWEZI KUDANGANYA MAANA
NI DHAMBI KUBWA. LAKINI YEYE AMEHUTUBIA IRINGA NA KUMTAJA HADHARANI MHE.
IBRAHIM KINANA KUWA NDIYE ANAMALIZA TEMBO KWA KUUZA MENO YA TEMBO
TANZANIA. SINA HAKIKA KAMA KUNA SHAHIDI KIASI GANI MAANA HII NI KOSA LA
JINAI. NI KAMA KATIBU WA CHADEMA ALIPODAI KULE TABORA KUWA ETI RIDHWANI
KIKWETE ALIKUWA AMESHIKILIWA CHINA KWA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA NA
KIKWETE ALISAFIRI KWENDA CHINA KUMNUSURU. LAKINI KITUKO WAKATI ANADAI
HAYO MAMBO RAIS ALIKUWA KWENYE SHUGHULI NYINGINE NA KIJANA HUYO WA RAIS
ALIWEZA KUDHIBITISHA KUWA HAJAWAHI HATA KUFIKA CHINA.
LEMA NAYE AMESIMAMISHWA BUNGENI SASA AMEKWENDA KULETA UCHOCHEZI WA
KISIASA KATIKA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA. HHAIINGII AKILINI MAANA CHUO CHA
UHASIBU KIPO CHINI YA WIZARA YA FEDHA NA HAKUNA KWA NAMNA YEYOTE MBUNGE
ANAWEZA KUINGILIA MAMBO YA CHUO KAMA HICHO. WABUNGE WAUPINZANI NA
VIONGOZI SOMENI ALAMA ZA NYAKATI. KILA NIKIANGALIA JUU NIKAANGALIA CHINI
NIKAANGALIA KUSHOTO NA KULIA NAONA KABISA YALIYOMKUTA RAILA ODINGA
KWENU ITAKUWA MARADUFU NA MWISHO WA UPINZANI NCHINI. NENDENI TARATIBU NA
MUWE WAKWELI NCHI HII HAIWEZI KUFANYA MAKOSA YA KUWEKA MADARAKANI
VIONGOZI WA MIZAHA NA UONGO WA KISHAROBARO

Mbona unawasemea? Ingekuwa busara waje wakanushe. Kinana yupo kwenye ziara za kichama, hivyo anao muda wa kukanusha huko huko majukwaani.
Hatujawahi kusikia lolote kuhusu Ritz kukanusha tuhuma yake.

Unalipwa?
 
Nimeona mabunge yote ya Jamuhuri ya MUUNGANO Tangu enzi za kina Semindu Pawa, Byeitima, Brycon, Kimbau, Lubereje na hata kina Mrema, Gama na Kadhalika. Sasa tuna wabunge wanafanya lolote bila kwa na heshima wala mipaka. Rais wa nchi anatukanwa, Spika anadhalilishwa na kila anachofanya bungeni wao wanakimbilia Mwanza, Arusha na Iringa kuitisha maandamano kujibu yaliyojili bila kutoa haki kwa wanaowasikiliza nao kupata habari ya upande wapili. Sasa hii ya LEMA NA MSIGWA NI KALI. MSIGWA YEYE ANAJIITA MCHUNGAJI. MIMI KAMA MKRISTO NAAMINI MCHUNGAJI HAWEZI KUDANGANYA MAANA NI DHAMBI KUBWA. LAKINI YEYE AMEHUTUBIA IRINGA NA KUMTAJA HADHARANI MHE. IBRAHIM KINANA KUWA NDIYE ANAMALIZA TEMBO KWA KUUZA MENO YA TEMBO TANZANIA. SINA HAKIKA KAMA KUNA SHAHIDI KIASI GANI MAANA HII NI KOSA LA JINAI. NI KAMA KATIBU WA CHADEMA ALIPODAI KULE TABORA KUWA ETI RIDHWANI KIKWETE ALIKUWA AMESHIKILIWA CHINA KWA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA NA KIKWETE ALISAFIRI KWENDA CHINA KUMNUSURU. LAKINI KITUKO WAKATI ANADAI HAYO MAMBO RAIS ALIKUWA KWENYE SHUGHULI NYINGINE NA KIJANA HUYO WA RAIS ALIWEZA KUDHIBITISHA KUWA HAJAWAHI HATA KUFIKA CHINA.
LEMA NAYE AMESIMAMISHWA BUNGENI SASA AMEKWENDA KULETA UCHOCHEZI WA KISIASA KATIKA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA. HHAIINGII AKILINI MAANA CHUO CHA UHASIBU KIPO CHINI YA WIZARA YA FEDHA NA HAKUNA KWA NAMNA YEYOTE MBUNGE ANAWEZA KUINGILIA MAMBO YA CHUO KAMA HICHO. WABUNGE WAUPINZANI NA VIONGOZI SOMENI ALAMA ZA NYAKATI. KILA NIKIANGALIA JUU NIKAANGALIA CHINI NIKAANGALIA KUSHOTO NA KULIA NAONA KABISA YALIYOMKUTA RAILA ODINGA KWENU ITAKUWA MARADUFU NA MWISHO WA UPINZANI NCHINI. NENDENI TARATIBU NA MUWE WAKWELI NCHI HII HAIWEZI KUFANYA MAKOSA YA KUWEKA MADARAKANI VIONGOZI WA MIZAHA NA UONGO WA KISHAROBARO

acha kujishuku hakuna mahali amemtaja kinana, kasema kiongozi mkubwa ndani ya chama sasa, mtu akisema kiongozi mkubwa ni kinana peke yake ndani ya ccm? ila jamii inajua nanimalikuwa anamlenga hapa ambaye wewe mwenyewe umemtaja.

hata pale ruaha kinana mwenyewe aliulizwa na mwananchi akaishia kumwamia yule mwananchi kuwqa amaetumwa na akasema kama kuna mtu anaushahidi apeleke mahakamani. acha kuwa mtumwa.

ulitaka mhe. mbunge akae nyumbani wakati anaona mahali hakupo usalama na uwezo wa kutatua anao, hivi kuna sheria inayotoa ruhusa ya kutatua mgogoro au kuamua ugomvi?
 
Umelaaniwa duniani na mbinguni pia. Moto wa milele unakusubiri huko jehanamu!
 
Kichwa chenye mvi kitakuwa na BUSARA kama kitasimamia haki. MLETA mada inawezekana shule imekupita kushoto, kisheria, defences of defarmation are divided in 3 types:- 1, TRUTH 2, JUSTIFICATION 3. FAIR COMMENT. Kwa kukusaidia wanasiasa wengi kinga yao inakuwa kati ya moja nilizooredhesha hapo juu. Lakini kuna mahakama, inaweza kutoa haki, hatutasita kuwatukana nyie wazee wachumia tumbo "SERUKAMBA". Kinana alikuwa MOROGORO siku 4, na wabunge wa chadema nao watazunguka siku 5, tatizo liko wapi? "SERUKAMBA" Bila shaka utakuwa mleta mada una familia, nawapa pole kwa kupata 'kibabu' " mama" ambacho wanakiserukamba, na hilo tusi mwasisi wake ni CCM. Umeniharibia siku kwa sababu unafikiri kwa kutumia 'masaburi', dawa zenu zimeingia kachukue zinaitwa 'go man and go woman'I KIASI GANI MAANA HII NI KOSA LA JINAI. NI KAMA KATIBU WA CHADEMA ALIPODAI KULE TABORA KUWA ETI RIDHWANI KIKWETE ALIKUWA AMESHIKILIWA CHINA KWA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA NA KIKWETE ALISAFIRI KWENDA CHINA KUMNUSURU. LAKINI KITUKO WAKATI ANADAI
 
Please jf members great thinkers msicomment hii thread ya kilaza huyu asieeleweka just look n ignore
 
imekua kama ni hali ya kawaida sasa kwa mawaziri haswa wa kipindi hiki cha bunge kukacha vikao na kisha kutetewa na yule bosi wao kwa kuanza na Lukuvi, Ndugai na wengine, sasa jaribu kupima kama mawaziri ambao ndo tungetegemea kuwa ni mfano mzuri kwa jamii ndo wangekua mstari wa mbele katika kuonyesha nidhamu ya kila namna lakn wao ndo wamekua namba moja katika kutoroka sasa hapo unafikiri wale ambao ndo wanawachukulia kama ni kioo cha jamii watakuaje?
 
Back
Top Bottom