Ndoto za Irene Uwoya na Keisha zafutwa

kedrick

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
5,059
4,867
Ile ndoto ya Irene Uwoya kuingia bungeni imefutwa baada ya kukatwa na kamati ya CCM katika uchujaji wa majina ya wabunge wa viti maalum mtu mwingine aliekatwa ni msanii Keisher so no ubunge poleni.
 
Wacha uongo. Hakuna mtu aliyekatwa. Wamegombea wakashindwa
 
Kweli furaha shoga yake huzuni nilikuwa na furaha ya yule mala..... wa instagram kukatwa, lakini pia nilifurahi niliposikia Keysha kapita,sasa tena kaachwa sijapenda ila kwa Irene nipo kati kwa kati sijafurahi wala kuhuzunika
 

Attachments

  • 1439117936460.jpg
    1439117936460.jpg
    8.6 KB · Views: 2,946
Let's get real siasa sio kama kugraduate chuo na kupeleka cv kiwandani upewe kazi.... it's a journey watu wanaanza movements since university and colleges... people have been royal members wa hivi vyama ever since and wanavijua vizuri...
huwezi kurupuka tu out of nowhere hata cv ya siasa huna unakimbilia juu hawa watu kama wana nia basi waanze kukitumikia Chama kutengeneza njia huko mbele...
ccm sio upinzani.. siasa mchezo mchafu....
 
matendo yako husimama dhidi yako na kuzungumza! ndio kilichomkuta uwoya na wema
 
Hivi hawa watu wanajua maana ya ndoto.?? Km walijua wanataka kuwa viongozi baadae kwann wafanye ukahaba hadharani...hii ndio shida ya kuishi bila malengo...wanaruka ruka tu....
Kuishi kwa malengo ni muhimu..ona sasa wanajiabishisha .mipicha ya uchi yao imejaa kibao mtandaonj...wamuongoze nani..labda wa type zao...
 
sasa waanze kutumikia chama bila kuchoka kuonyesha kweli wanastahili ubunge.
 
Back
Top Bottom