Ndoto hizi zimenichosha ........

condorezaraisi

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
225
116
Wana Chit Chat niko vey serious juu ya hili..
wenye kufunga kwa maombi mnisaidie.Fungeni mniokoe na janga hili
Ni muda sasa nimekuwa nikiota na do na braza mmoja ...
Cha ajabu ingekuwa labda naota ndoto tofauti tofauti la hasha ..
Kila nikiota namuota huyo huyo na do nae ......
Mara ya mwisho niliomuona kwenye kikao cha harusi ya mtu akiwa kama mwanakamati
..sijamuona tena hadi hapa ninapotoa malalamiko yangu
Lakini sasa haipiti week/or mbili namuota ..
Hivi ndo popobawa hawa ???????:A S cry::A S cry::A S cry:
 
we jg wewe, kwan kutaja mara ngapi ndo inadetermine matibabu au njia ya kumsaidia? hebu msaidie mwenzio bana!

Yaani what i mean sisi waelekezajirika hua tunayo selfcapacity ya kumsikiza mtu na kisha kumpa elekezo, nini cha kufanya.
Mf. Akijibu atlist kwa one moon anadrimz kumegwa once game to five game najua hapo hatokua na tatizo. Bt akijibu kwa muda huohuo anadrimz kumegwa 10 games to 15 up to 20 games !
Hapo ni tatizo.
 
Kama utahitaji naweza kukutumia namba ya mchungaji anayeweza kukusaidia kwa njia ya maombi. Si lazima muonane macho kwa macho, anayo karama ya kukuombea hata kwa njia ya simu, na tatizo lako litakwisha.
 
unamtamani subconsciously, baadhi ya ndoto ni vitu tunavyoviwaza/taka so inaweza kuwa sababu.

anapiga round ngapi kwenye session? :lol:
 
Pole sana dadaaa.... Ila jamaa ndo ameshaku popobawa safari zote hizo.
Muombee kwa nguvu zote asirudi tena,atakuchakaza bureeee.
 
POLE MWAYA HILO NI JINI MAHABA. AU HUYO MKAKA ULIMZIMIA SANA NINI? NENDA KAULIZIE PALE ULIPOMUONA KWENYE KIKAO CHA HARUSI THEN UJUE HIYO HARUSI ILIKUWA YA LINI/WAPI THEN UANZIE HAPO KUMSAKA (kama ulimpenda na huenda ni tatizo dogo tu la kisaikology)
 
pole mdada!! unaweza kukataa but ukweli ni kwamba inawezekana unafeelings kali kwa huyo kaka!! lakini hata kama ni ivyo c nzur sana so nipo pamoja nawe ktk maombi!! but jaribu kujchunguza kama unafeel any aatractivness towards him!!
 
Back
Top Bottom