Ndoa ni mpango wa Mungu

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,425
7,975
Acheni kupiga vita ndoa, kwani ndoa ni mpango wa Mungu, bila kujali dini yoyote. Kwamba zina shida na changamoto nyingi ni kweli, lakini hii haifanyi ndoa kuwa kitu kibaya, kumbukeni ndoa ni baina ya binadamu 2.

Wanamke na mwanaume ambao wametoka watokako na kuoana, ni lazima watakwaruzana, ni kawaida lakini wanakaa na kutatua shida zao, ndoa ni tamu mno, enyi wanawake na wanaume tuungane kusaidia kazi ya Mungu ya kuoana, kila mmoja aweke nia ya kusaidia ndoa moja kufungwa mwaka huu
 
Kwa Sasa Ndoa Zimekuwa Za Kuviziana.


Anguko La Jamii Kwenye Mahadili Ndio Matokeo Ya Sasa Kwa Vijana Kukataa Ndoa Na Kuzipinga Vikali.

Vijana Wanakosa Wa Kuoa/Kuolewa Sababu Hakuna Misingi Mizuri Iliyojengwa Kutoka Kwa Wazee Ambayo Itasaidia Kuokoa Na Kupambana Na Dhoruba Kali Pale Ndoa Inapopigwa.

Ndoa Inahitaji Uvumilivu Pande Zote Mbili Kujishusha Na Kutazama Mustakabali Wa Watoto Kwa Baadae.
 
Back
Top Bottom