Ndoa ndoano

TAI DUME

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
8,859
23,119
Katika Mapenzi Wakati Mwingine Gharama za Maumivu ya Mtu Mwingine ndio Gharama za Furaha kwa Mtu au Watu Wengine...Sikia!

Elie Taktouk, ambaye Ni Milionea Mwenye Asili ya Lebanon alifunga Ndoa na Mwanamitindo Mlimbwende Mwenye Asili ya Lebanon pia Mwanamama Daniella Semaan,Mrembo Kweli kweli, Vijana wa Bongo Siku hizi Wenyewe wanaita "Pisi Kali", Ndoa hiyo ilifungwa Mwaka 1998, na Wawili Hawa Waliishi Jijini London.

Miaka 13 Baadae, Kijana Mdogo wa Kihispania, aliyekwenda Uingereza kutafuta Maisha kupitia Soka aligonga Hodi kwa Daniella "Muke ya Tajiri" ambaye anamzidi Miaka 13, kijana Huyu Ni Nahodha wa Zamani wa Arsenal ya England Cesc Fabregas!...Fabregas na Daniella Semaan Wakazama kwenye Penzi Baada ya kukutana ktk Occasion Moja jijini London, Wakazama ktk Mapenzi ilihali Bado Daniella akiwa ktk Ndoa yenye Watoto Wawili na Milionea Taktouk.

Mapenzi Hayana Siri, ilifikia Wakati Mzani wa Mahaba ya Daniella ulielemea kwa Fabrags na ikawa sio Siri Tena Mara Baada ya Picha za Daniella na Fabregas kusambaa wakionekana Wakila Bata Nchini Italia, na Ndio hapo sasa ilipokuja issue ya "Divorce" kati ya Daniella na Taktouk!, Mahakama ikabariki Kuachana.

Lakini Mahakama ikatamka Wazi Kwamba Katika Mgawanyo wa Mali kwa Wanandoa hao inampasa Tajiri Taktouk ampatie Daniella Kiasi Cha Dollar Milioni 2.18, Zaidi ya Bilioni Nne na Ushee za Kitanzania, ambapo ikaamuliwa na Mahakama kuwa Apartment ya Kifahari inayomilikiwa na Tajiri huyo ambayo Wanaishi Wanandoa hao na ambayo ipo Karibu na Makazi ya Malkia huko Buckhingam Uingereza iuzwe ili kuwezesha Mgao, Yaani Daniella apewe Kiasi Kutoka Hapo, na ndipo Wateja wakaanza Kutafutwa,ikawekwa "On sale"

Moja ya Offer kubwa ya Ununuzi wa Nyumba hiyo ilitoka Barcelona, Kampuni Moja hivi toka Jiji la Barcelona ilikubali kununua Apartment hiyo ya Kifahari kwa USD 8.52 m , Zaidi ya Bilioni 19 za Kitanzania...na Hatua za Awali za kufanikisha Mauzo Hayo yaliyosimamiwa na Mahakama yalikamilika, Lakini ghafla Taktokuk aliwasilisha Pingamizi Mahakamani, Pingamizi la kutokuuzwa Apartment yake kwa Kampuni hiyo ya Jiji la Barcelona, maana ktk Uchunguzi wake Binafsi alikuja Kugundua kuwa Kampuni hiyo inamilikiwa na Cesc Fabregas!,Mume Mwenza!..kumbuka Hapo Fabregas Tayari alikuwa yupo FC Barcelona akitokea Arsenal.

Hata hivyo Judge wa Makama Hakuona Hoja ya Mashiko ktk pingamizi, Mahakama ikauza Apartment hiyo kwa Kampuni hiyo hiyo iliyoleta Offer, na Kisha Daniella akakabidhiwa Mgao wake wa Bilioni Zaidi ya nne!, na Mahakama ikaamuru Tajiri Taktouk awe anamlipa Daniella Allowances ya kila Mwezi ya Dollar 2500 (Zaidi ya Milioni 7 za Kitanzania) Kama Divorce Settlement (Posho ya kujiweka sawa Baada ya Kuachika), kwa kipindi Fulani kwa Mujibu wa Sheria za Uingereza, Umeona Balaa hiyo?, Yaani Fabregas akajitwalia Mke pamoja na Nyumba aliyoinunua in a Style kumfurahisha Mpenzi wake ambaye pia aliambulia Kiasi Cha Fedha za Mauzo Hayo.

Milionea Taktouk aliachana na Daniella kwa shingo Upande huku Roho ikimuuma Kiasi Cha kutuma Ujumbe ufuatao kwa Cesc Fabregas:

"Mwanamke huyo nimeishi nae Muda Mrefu, Namfahamu Vizuri kuliko hata Wewe, Kifupi Ni Yupo kwako kwa ajili ya Pesa na Mali, huyo Ni Gold Digger, Nina Hakika Utakapoishiwa Pesa atarejea kwangu, na ninajua utaishiwa tu kwa Sababu Wewe sio David Beckham".

Tukio Hili la Kupoteza Mke na Nyumba kwa Fabregas lilimfanya Milionea Taktouk Kupoteza Focus na ilimuathiri Kisaikolojia na Afya ya Akili Kiasi hata alijaribu Kujiua akiwa Katika Hoteli Moja jijini London na kuishia kulazwa ktk Hospitali Moja jijini Humo, pia Biashara zake zikaanza Kwenda Kombo na hata kukamatwa na Kushtakiwa Katika Kesi za Ukwepaji Kodi na Kuhukumiwa Miaka Saba jela Mwaka 2021,

Well, Kwa Sasa Fabregas na Daniella hao hapo Pichani wanaendela kula Maisha na Ni Mke na Mume, na Wana Watoto....Ahsante.

C & P

FB_IMG_1681730887057.jpg
 
Wanawake ni waaminifu mbele ya hisia zao...hilo weka akilini. Hata uwe na pesa kiasi gani kama haupo moyoni mwake hata akuzalie watoto tele, hata umlaze kitanda cha dhahabu ipo siku ataenda kule zilipo hisia zake au hubadilika pale akutanapo na mtu aliyezikamata hisia zake...

Wanawake hawatabiriki kamwe hawawezi saliti hisia zao... Kama hesabu zako zinakataa kwamba haupo moyoni mwake %100 jombaa kuwa makini sana, wanajua kujikausha kwa utiifu hawa watu wakiwa na jambo lao, mfano hakuna!
 
Wanawake ni waaminifu mbele ya hisia zao...hilo weka akilini
hata uwe na pesa kiasi gani kama haupo moyoni mwake hata akuzalie watoto tele,hata umlaze kitanda cha dhahabu ipo siku ataenda kule zilipo hisia zake au hubadilika pale akutanapo na mtu aliyezikamata hisia zake...
Wanawake hawatabiriki kamwe hawawezi saliti hisia zao...
Kama hesabu zako zinakataa kwamba haupo moyoni mwake %100 jombaa kuwa makini sana, wanajua kujikausha kwa utiifu hawa watu wakiwa na jambo lao, mfano hakuna!
💯Ni kweli
 
Katika Mapenzi Wakati Mwingine Gharama za Maumivu ya Mtu Mwingine ndio Gharama za Furaha kwa Mtu au Watu Wengine...Sikia!

Elie Taktouk, ambaye Ni Milionea Mwenye Asili ya Lebanon alifunga Ndoa na Mwanamitindo Mlimbwende Mwenye Asili ya Lebanon pia Mwanamama Daniella Semaan,Mrembo Kweli kweli, Vijana wa Bongo Siku hizi Wenyewe wanaita "Pisi Kali", Ndoa hiyo ilifungwa Mwaka 1998, na Wawili Hawa Waliishi Jijini London.

Miaka 13 Baadae, Kijana Mdogo wa Kihispania, aliyekwenda Uingereza kutafuta Maisha kupitia Soka aligonga Hodi kwa Daniella "Muke ya Tajiri" ambaye anamzidi Miaka 13, kijana Huyu Ni Nahodha wa Zamani wa Arsenal ya England Cesc Fabregas!...Fabregas na Daniella Semaan Wakazama kwenye Penzi Baada ya kukutana ktk Occasion Moja jijini London, Wakazama ktk Mapenzi ilihali Bado Daniella akiwa ktk Ndoa yenye Watoto Wawili na Milionea Taktouk.

Mapenzi Hayana Siri, ilifikia Wakati Mzani wa Mahaba ya Daniella ulielemea kwa Fabrags na ikawa sio Siri Tena Mara Baada ya Picha za Daniella na Fabregas kusambaa wakionekana Wakila Bata Nchini Italia, na Ndio hapo sasa ilipokuja issue ya "Divorce" kati ya Daniella na Taktouk!, Mahakama ikabariki Kuachana.

Lakini Mahakama ikatamka Wazi Kwamba Katika Mgawanyo wa Mali kwa Wanandoa hao inampasa Tajiri Taktouk ampatie Daniella Kiasi Cha Dollar Milioni 2.18, Zaidi ya Bilioni Nne na Ushee za Kitanzania, ambapo ikaamuliwa na Mahakama kuwa Apartment ya Kifahari inayomilikiwa na Tajiri huyo ambayo Wanaishi Wanandoa hao na ambayo ipo Karibu na Makazi ya Malkia huko Buckhingam Uingereza iuzwe ili kuwezesha Mgao, Yaani Daniella apewe Kiasi Kutoka Hapo, na ndipo Wateja wakaanza Kutafutwa,ikawekwa "On sale"

Moja ya Offer kubwa ya Ununuzi wa Nyumba hiyo ilitoka Barcelona, Kampuni Moja hivi toka Jiji la Barcelona ilikubali kununua Apartment hiyo ya Kifahari kwa USD 8.52 m , Zaidi ya Bilioni 19 za Kitanzania...na Hatua za Awali za kufanikisha Mauzo Hayo yaliyosimamiwa na Mahakama yalikamilika, Lakini ghafla Taktokuk aliwasilisha Pingamizi Mahakamani, Pingamizi la kutokuuzwa Apartment yake kwa Kampuni hiyo ya Jiji la Barcelona, maana ktk Uchunguzi wake Binafsi alikuja Kugundua kuwa Kampuni hiyo inamilikiwa na Cesc Fabregas!,Mume Mwenza!..kumbuka Hapo Fabregas Tayari alikuwa yupo FC Barcelona akitokea Arsenal.

Hata hivyo Judge wa Makama Hakuona Hoja ya Mashiko ktk pingamizi, Mahakama ikauza Apartment hiyo kwa Kampuni hiyo hiyo iliyoleta Offer, na Kisha Daniella akakabidhiwa Mgao wake wa Bilioni Zaidi ya nne!, na Mahakama ikaamuru Tajiri Taktouk awe anamlipa Daniella Allowances ya kila Mwezi ya Dollar 2500 (Zaidi ya Milioni 7 za Kitanzania) Kama Divorce Settlement (Posho ya kujiweka sawa Baada ya Kuachika), kwa kipindi Fulani kwa Mujibu wa Sheria za Uingereza, Umeona Balaa hiyo?, Yaani Fabregas akajitwalia Mke pamoja na Nyumba aliyoinunua in a Style kumfurahisha Mpenzi wake ambaye pia aliambulia Kiasi Cha Fedha za Mauzo Hayo.

Milionea Taktouk aliachana na Daniella kwa shingo Upande huku Roho ikimuuma Kiasi Cha kutuma Ujumbe ufuatao kwa Cesc Fabregas:

"Mwanamke huyo nimeishi nae Muda Mrefu, Namfahamu Vizuri kuliko hata Wewe, Kifupi Ni Yupo kwako kwa ajili ya Pesa na Mali, huyo Ni Gold Digger, Nina Hakika Utakapoishiwa Pesa atarejea kwangu, na ninajua utaishiwa tu kwa Sababu Wewe sio David Beckham".

Tukio Hili la Kupoteza Mke na Nyumba kwa Fabregas lilimfanya Milionea Taktouk Kupoteza Focus na ilimuathiri Kisaikolojia na Afya ya Akili Kiasi hata alijaribu Kujiua akiwa Katika Hoteli Moja jijini London na kuishia kulazwa ktk Hospitali Moja jijini Humo, pia Biashara zake zikaanza Kwenda Kombo na hata kukamatwa na Kushtakiwa Katika Kesi za Ukwepaji Kodi na Kuhukumiwa Miaka Saba jela Mwaka 2021,

Well, Kwa Sasa Fabregas na Daniella hao hapo Pichani wanaendela kula Maisha na Ni Mke na Mume, na Wana Watoto....Ahsante.

Credit: Pio Pius

Note: Hii sio hoja imezuiliwa kutumika katika kampeni za kataa ndoa
1681797919662.jpg
 
Back
Top Bottom