Ama kweli ndoa ndoano

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
726
1,850
Rafiki yangu wa karibu alikuwa ananisimulia changamoto anazokutana nazo kwenye ndoa yake ambayo ina umri wa miaka mitatu anasema hivi karibuni mambo yake ya kiuchumi yameenda mraba sasa imepelekea dharau kubwa kuibuka kutoka kwa mke wake ambaye yeye ana kipato cha uhakika kwakuwa ni muajiriwa ,

Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yangu halafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake.

Jamaa anasema alikuwa tu anasikia ndoa ni ndoano lakini amejionea mwenyewe na pia anaona utofauti akilinganisha na kipindi cha uchumba jinsi mahaba yalivyokuwa mazito.
 
Mwambie hayo ya kawaida hawa wanawake tunaokutana nao tukiwa na ajira,mimi nilifukuzwa kazi nikauza gari nililonunua milioni7kwa shsmilioni moja na laki tano!Na vitu vingine baada ya kuuza vitu vingi nikawa tena sina kitu cha kuuza hapo ndipo kipengere kikaanza na figisu kibao;Hadi nikapelekwa gereza la Isanga baada ya kukosa mdhamini!Mwambie asiwaza apambane Mungu ni mwema ndoa ya kweli ni ya mkulima tuu!
 
Ndoa ya mkulima kwa nini ya kweli ?
 
Mkuu ww una story..,embu elezea zaidi!!
 
Rafiki yangu wa karibu alikuwa ananisimulia changamoto anazokutananazo kwenye ndoa yake ambayo ina umri wa miaka mitatu anasema hivi karibuni mambo yake yakiuchumi yameenda mraba sasa imepelekea dharau kubwa kuibuka kutoka kwa mke wake ambaye yeye ana kipato cha uhakika kwakuwa ni muajiriwa ,

Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yangu alafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake ...

Jamaa anasema alikuwa tu anasikia ndoa ni ndoano lakini amejionea mwenyewe na pia anaona utofauti akilinganisha na kipindi cha uchumba jinsi mahaba yalivyokuwa mazito .

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Tatizo hili linatibika Kwa kuoa mwanamke anayekupenda
 
Mwambie jamaa yako aachane na maneno ya huyo mke wake aangalie matendo zaidi, wanawake ndivyo walivyo, akiona matendo ya mkewe hayaridhishi aangalie namna nzuri ya kisaikolojia ya kumuweka sawa na akishindwa kabisa amfanyie mkewe figisu mpaka hahakikishe kaachishwa kazi .

Nb.Mwanamke anaye omba hela za matumizi kwa mwanaume ni bora zaidi kuliko mwanamke anayejiweza kiuchumi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom