Ndoa inahitaji huruma

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,416
7,969
Mengi hutokea kwenye ndoa, wala sina haja ya kuyataja hapa. Ukitoa uvumilivu, huruma ni muhimu sana kwa wana ndoa wote, mwanamke na mwanaume, kila mmoja awe na huruma na mwenzie.

Kwa njia hiyo mtaishi vizuri na mtazaa watoto na mtazeeka pamoja na mtakufa mkiwa pamoja.
 
Back
Top Bottom