Ndoa baada ya kupeana mimba imekaaje?

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,047
10,696
Wengi wa wanandoa wapya siku hizi wanaingia kwenye hiyo taasisi baada ya kupeana mimba "kutest zali", kitu ambacho huko nyuma haikuwa hivyo.Na wengi walioana wakiwa 'bado" hawajaivunja ile amri.Siku hizi vipi?Au ndo utandawazi?
 
Na wanaopata mimba kabla baada ya kuzaa mtoto akaondoka nao unasemaje??unahisi ni soln
 
Wengi wa wanandoa wapya siku hizi wanaingia kwenye hiyo taasisi baada ya kupeana mimba "kutest zali", kitu ambacho huko nyuma haikuwa hivyo.Na wengi walioana wakiwa 'bado" hawajaivunja ile amri.Siku hizi vipi?Au ndo utandawazi?
Mie mwenyewe hata sielewi hii kitu inakuwaje!
Km ni kujua uhakika wa kuprojuzi si kunavipimo vya kitaalam vinavyoonyesha uhakika huo bila kutiana mimba?
Ngija tuwasubiri wanaojua watupatie ufahamu juu ya hii kitu.
 
Some people already planned to get married.and accidentally become pregnant.

Some people plan to have a baby first, before marriage. Then get married later.

Some people never planed to get married OR get pregnant, but when a pregnancy happens they end up foolishly doing both.

Some people are in the middle of planning a wedding a year in advance and then find out their birth control method failed them but they still get married as planned, after the baby or while still pregnant.

Some girls accidentally get pregnant and the father just wants to do the right thing or they are pressured into getting married to give the child a supposed stable environment.

Those are the scenarios I can think of off of the top of my head.
 
Ndoa nyingi za sasa ni husababishwa na mimba ambazo hazikutarajiwa ndio maana miezi mitatu tu ni sawa na miaka mia tatu.
 
The Finest
kwa mimi nielewavyo mtu akibakwa
Na akapata mimba hiyo ni accident..

Hapo awali naona umetumia sana hiloneno
Accidentally.. naomba ulieelezee kidogo ki
Vipi mimba ni ajali kwa watu wanao plani
kuwa pamoja..
 
The Finest
kwa mimi nielewavyo mtu akibakwa
Na akapata mimba hiyo ni accident..

Hapo awali naona umetumia sana hiloneno
Accidentally.. naomba ulieelezee kidogo ki
Vipi mimba ni ajali kwa watu wanao plani
kuwa pamoja..
Sometimes most of the women always have that notion ya kwamba couldn't manage birth control au sijui siku zake akuzihesabu vizuri and so on so they end saying it was accidentally na hakuwa ame-plan and so forth, but kwangu mimi siwezi kusema ni accidentally so it's still an open discussion huo ulikuwa mtazamo wangu kwa watu ambao nimewaona wamekutana na such situation
 
nadhani watu wanatumia vipimo halisia.. lakini ndo maana ndoa nyingi hazidumu kwnai zinakuwa na misiukumo ya mimba
 
si lazima tuwe kama mababu na mabibi. hii hii system tuiboreshe ndo ubunifu
 
Back
Top Bottom