Ndoa baada ya kupeana mimba imekaaje?

Kibaya zaidi na wabeba mimba wanaikubali hiyo,vipimo vya kitibabu haviwezi kutoa majibu sahihi?

mkuu miaka ya leo ujauzito ni lulu, 7bu kubwa ni wadada wenyewe kuzitoa hizo mimba kabla ya kuwekwa ndani...
vipimo vya kitabibu vinatoa majibu sahihi, tatizo watabibu wananunulika sana hii inasababisha wanaume wanaingia maabara wenyewe kufanya hizo test...
 
Utandawazi huo, dunia imekuwa kijiji - Mila na maadili havina nafasi ten. Watu wanaona na kusikia yanayotokea katika mabara mengine. Haki za binadamu, hakuna miiko kuzaa kabla ya ndoa, hakuna maneno mbofu mbofu ya kuzaa mtoto asiye na nywele kwa sababu mama yake alikula mayai wakati akiwa na mimba, hakuna kuzaa mapacha kwa sababu kuna mtu alikuruka wakati umekaa chini, hakuna mtoto kuchelewa kutoka kwa sababu mama mweye mimba alipenda kukaa mlangoni
 
Nawaonea huruma vijana wanao oana kabla hawajatiana mimba.

Tianeni mimba ndo muoane bana.
 
Utandawazi huo, dunia imekuwa kijiji - Mila na maadili havina nafasi ten. Watu wanaona na kusikia yanayotokea katika mabara mengine. Haki za binadamu, hakuna miiko kuzaa kabla ya ndoa, hakuna maneno mbofu mbofu ya kuzaa mtoto asiye na nywele kwa sababu mama yake alikula mayai wakati akiwa na mimba, hakuna kuzaa mapacha kwa sababu kuna mtu alikuruka wakati umekaa chini, hakuna mtoto kuchelewa kutoka kwa sababu mama mweye mimba alipenda kukaa mlangoni

bora hii kuliko ya ushoga.
 
Tatizo liko wapi? Hata hivyo kuoana hakuna ulazima, halmuradi tu wanapendana na wameamua kuwa na watoto.
Wengine watadai "haki za watoto" na mambo kama hayo. Ikiwa baba yuko makini mtoto wake hawezi kukosa haki zake eti kwa sababu tu hakuenda kanisani, msikitini au bomani na kuchukua karatasi ya ndoa.
 
Wanaanza kunyofoa tokea form1..sasa itakuwaje akija kumaliza english course college za k/k?na ni vip nimtrust pasipo kupitia usahili (carrier interview) hiyo,tunawapa mambo ili akionesha + basi apewe kitengo with permanent terms

iko pouuua sana!
 
Hii kali.
 
Back
Top Bottom