Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,323
- 17,826
huo usemi mie ctaki kukubaliana nao lakini ndio mambo yanayotukumba kila kukicha.
:closed_2::closed_2::closed_2:
huo usemi mie ctaki kukubaliana nao lakini ndio mambo yanayotukumba kila kukicha.
mmemsikia JK akimsifia Bilali kuwa ni shababy kwelikweli? basi wale wasiotosheka na nyama ya aina moja na wawe mashababy.... kama temporary solution...!! wanawake punguzeni wivu, waruhusuni waume zenu kwa moyo mweupe wawe mashababy....
Hata siku moja sitafungua mdomo wangu kuisemea ndoa ya mtu na deal na yangutu haya mambo Hayasemewi hata kidogo..Mpe pole sana akiamka muulizo wifi kulikoni kumbe na wewe kuna mambo huwa humfanyii mmeo...?
..usiusemee moyo wa mwenzio
wapi wanatoa hiyo huduma mi nataka waniondolee kabisaaaaaaaaa wala si kupunguza!!!
Nyamayao sio usemi.....ni fact...ni hali halisi....huo usemi mie ctaki kukubaliana nao lakini ndio mambo yanayotukumba kila kukicha.
Nyamayao sio usemi.....ni fact...ni hali halisi....
The truth spoken...if i got cheat itakuwa sehemu zote lakini sio home....Roya, mie ctaki kuukubali kabisa, jana kaka zake walipomuona shem wao walinywea kweli, yaani hakuna aliekuwa na la kusema zaidi ya mama mtu kuomboleza na mwanae, mkuki kwa nguruwe.......
Hiyo ni rule namba ngapi ya infidelity?The truth spoken...if i got cheat itakuwa sehemu zote lakini sio home....
The truth spoken...if i got cheat itakuwa sehemu zote lakini sio home....
BHT ucnipe raha mie, watu wanajiaminisha kwa watoto wa wenzao kuliko kujali nafc zao! mamake jana anavyosema mwanae acrudi tena kwenye hiyo ndoa, cjui haimfai cjui nini na nini, akamuona mkwe ndio kaja kwa mara ya kwanza kusalimia kuanzia hiyo j5 ucku na bado binti kamkumbatia akilia haswaaa, mama alitamani amrukie mkwe lakini ndio hivyo tena..... sie(mie na mke mwenzangu) yetu yalikuwa macho tu.
it looks like kuna kitu kikubwa sana unataka kukielezea lakini naona ni kama ''you are still looking for a way to put it''sema Teamo...mie cku hizi hakuna la kunisumbua kichwa tena yote yale yale tu...cjawahi kuzirai..lol
leo uko unsober kwa kweli..........utafanyiaje uchafu ndani eti!!!!
Hiyo haipo katika rules....ndo katiba yenyewe.Hiyo ni rule namba ngapi ya infidelity?
leo uko unsober kwa kweli..........utafanyiaje uchafu ndani eti!!!!