ndio ndoa hizi

mmemsikia JK akimsifia Bilali kuwa ni shababy kwelikweli? basi wale wasiotosheka na nyama ya aina moja na wawe mashababy.... kama temporary solution...!! wanawake punguzeni wivu, waruhusuni waume zenu kwa moyo mweupe wawe mashababy....

wapi wanatoa hiyo huduma mi nataka waniondolee kabisaaaaaaaaa wala si kupunguza!!!
 
Hata siku moja sitafungua mdomo wangu kuisemea ndoa ya mtu na – deal na yangutu haya mambo Hayasemewi hata kidogo..Mpe pole sana akiamka muulizo wifi kulikoni kumbe na wewe kuna mambo huwa humfanyii mmeo...?
..usiusemee moyo wa mwenzio

kabisa kabisa FL, ctamuuliza lolote mana amejionea mwenyewe, na huyo aliekuwa anatubeza ndo tulikuwa wa kwanza kumuhudumia mamake akiwa bado hajafika, amezinduka katuona hapo kaanza kulia tu.....mawifi ndio wakavu hakuna hata anaembembeleza, tulimwacha alie apate uchungu wake, mamake jana alipofika ndio aliekuwa na shughuli ya kumbembeleza....nakumbuka kuna kipindi mke mwenzangu aliletewa mtoto na mwanamke wa nje, mdada alichonga balaa "" lazima amlee damu yetu haipotei bure na ndio mjue kwanini kaka zangu wanatoka nje"...ilibidi nifunge safari kwenda kumpa moyo mke mwenzangu.....FL nikisema nimuongelee huyu atarudishwa I.C.U oz nina mengi ya kumuongelea wacha nimeache tu.
 
wapi wanatoa hiyo huduma mi nataka waniondolee kabisaaaaaaaaa wala si kupunguza!!!

BHT ucnipe raha mie, watu wanajiaminisha kwa watoto wa wenzao kuliko kujali nafc zao! mamake jana anavyosema mwanae acrudi tena kwenye hiyo ndoa, cjui haimfai cjui nini na nini, akamuona mkwe ndio kaja kwa mara ya kwanza kusalimia kuanzia hiyo j5 ucku na bado binti kamkumbatia akilia haswaaa, mama alitamani amrukie mkwe lakini ndio hivyo tena..... sie(mie na mke mwenzangu) yetu yalikuwa macho tu.
 
Nyamayao sio usemi.....ni fact...ni hali halisi....

Roya, mie ctaki kuukubali kabisa, jana kaka zake walipomuona shem wao walinywea kweli, yaani hakuna aliekuwa na la kusema zaidi ya mama mtu kuomboleza na mwanae, mkuki kwa nguruwe.......
 
Roya, mie ctaki kuukubali kabisa, jana kaka zake walipomuona shem wao walinywea kweli, yaani hakuna aliekuwa na la kusema zaidi ya mama mtu kuomboleza na mwanae, mkuki kwa nguruwe.......
The truth spoken...if i got cheat itakuwa sehemu zote lakini sio home....

mkiambiwa INFIDELITY IS THERE TO STAY mnataka kurusha ngumi....!
shauri zenu...!

acheni wanaume waitwe wanaume hivo hivo
 
The truth spoken...if i got cheat itakuwa sehemu zote lakini sio home....

nilipenda sana jamaa alivyoingia hosp, as if hakuna alilotenda, yupo na fnds zake wa2...haaa ukute mmoja wa kaka zake wao ni member humu mweh.
 
BHT ucnipe raha mie, watu wanajiaminisha kwa watoto wa wenzao kuliko kujali nafc zao! mamake jana anavyosema mwanae acrudi tena kwenye hiyo ndoa, cjui haimfai cjui nini na nini, akamuona mkwe ndio kaja kwa mara ya kwanza kusalimia kuanzia hiyo j5 ucku na bado binti kamkumbatia akilia haswaaa, mama alitamani amrukie mkwe lakini ndio hivyo tena..... sie(mie na mke mwenzangu) yetu yalikuwa macho tu.

wifi yao ana moyo wa uanamke hasa!!!
 
sema Teamo...mie cku hizi hakuna la kunisumbua kichwa tena yote yale yale tu...cjawahi kuzirai..lol
it looks like kuna kitu kikubwa sana unataka kukielezea lakini naona ni kama ''you are still looking for a way to put it''
 
leo uko unsober kwa kweli..........utafanyiaje uchafu ndani eti!!!!

2 b honest with u! nimefurahia kaona maisha ya ndoa, mana alikuwa hajayaona/anayackia kwa mbali, sasa kimemfika, ndio unaambiwa mcba uckuie kwa mwenzio uckufike...wa kwetu walikuwa wanafanyia hukooo mbali, yeye kakuta ndani kwenye kasofa kake.
 
Hiyo ni rule namba ngapi ya infidelity?
Hiyo haipo katika rules....ndo katiba yenyewe.
Unajua kinachomuuza sana huyu victim? Sio kile kitendo chenyewe ila ni mahali (nyumbani) na mhusika (binamu)!
 
it looks like kuna kitu kikubwa sana unataka kukielezea lakini naona ni kama ''you are still looking for a way to put it''

heu nikumbushe hicho kitu labda nakisahau...mambo kusaidiana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom