Ndimi mbili

Dejane

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
49,660
68,633
Ushawah ona mtu ana ulimi halaf karibia koon kuna kaulimi tena kadogo kameota
Acha ile ya juu hii ipp kwenye ulimi nimeona binti mmoja anayo anasema inasababisha anakohoa ,kifua kubana na homa

Mwenye kujua matibabu yake yapoje??
 
Sio hiko uvula kweli
66db85fcb8f758e4a938b4ad9da0568b.jpg
 
Tafuta mkungu wa ndizi ambao hauna ndizi kakakata anika juani,chukua matunda ya ndulele katakata Anika juani,chukua mchicha pori wenye miba

Anika juani baadae unguza upate unga wake saga vizuri ongeza na chumvi ya mawe kidogo saga vyema ukishapata dawa yako,tumia kuramba kutwa Mara mbili
 
Ushawah ona mtu ana ulimi halaf karibia koon kuna kaulimi tena kadogo kameota
Acha ile ya juu hii ipp kwenye ulimi nimeona binti mmoja anayo anasema inasababisha anakohoa ,kifua kubana na homa

Mwenye kujua matibabu yake yapoje??
Kwanza inatakiwa achunguzwe maana wengi wanasema wana ndimi mbili unakuta ni Normal Physiology na wengine wanasema Hivyo kumbe ni matatizo mengine..

Wengine wana Tonsilar abscess, au Tonsilar ring swelling..

AU Adenoid enlargements tu...
Kwa kifupi Wana Oralpharingeal Infection....

Nakumbuka Nimewahi kukutana na Mtu mmoja yeye anasema kabisa ana ulimi miwili hivyo hivyo kama unavyosema hapo..

Kumchunguza alikuwa na Anterior Enlarged Lingual tonsill...

Na ilifanyika Lingual tonsilectomy (Kuondoa) na akawa sawa...

Cha msingi aende Hospitali iliyokaribu Akafanyiwe uchunguzi Ni muhimu maana asifanye Mchezo hiyo sehemu ni delicate sana..
 
Sawa ataenda aambiwe nin
Nashangaa wazazi wake kumuangalia tu bila
Kufanya chochote
 
Tafuta mkungu wa ndizi ambao hauna ndizi kakakata anika juani,chukua matunda ya ndulele katakata Anika juani,chukua mchicha pori wenye miba

Anika juani baadae unguza upate unga wake saga vizuri ongeza na chumvi ya mawe kidogo saga vyema ukishapata dawa yako,tumia kuramba kutwa Mara mbili
Eeee hakuna inayouzwa?
 
Ushawah ona mtu ana ulimi halaf karibia koon kuna kaulimi tena kadogo kameota
Acha ile ya juu hii ipp kwenye ulimi nimeona binti mmoja anayo anasema inasababisha anakohoa ,kifua kubana na homa

Mwenye kujua matibabu yake yapoje??
Matibabu ya asili huwa wanakakata kama kamekua sana huku kwetu kanaitwa (kaumio) sijajua kama na hospitalini wanakata ,,,huwa kanasababisha kukohoa sana kulala inakuwa mtiti
 
Back
Top Bottom