Ndege yaanguka mwanza airport

ThinkPad

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,844
232
Jamani wenye updates please nasikia kuna dege limeanguka mwanza mtupashe habari mlioko mwanza
 
nimeongea na dereva wa presisheni ananiambia WANAFANYA MAZOEZI na timu nzima ya watu wa fire na accidents JUST IN CASE NDEGE IKIANGUKA!

so,
ni mazoezi tu!
huwa wanafanya haya mazoezi mara moja kwa mwaka!.....

invizibo hebu tuambie upo karibu na airport hamna HEKA HEKA?
 
kitaalamu zoezi zima linaitwa TEST FLIGHT!.......

muwe na amani jamani maanake NDOVU yangu ya VUGUVUGU ilianza kuwa chungu hapa kitunda,lol
 
Sidhani kama ni mazoezi. Nimeongea na mtu yuko Bugando Referal Hosp kasema huduma zimesimama kwa wagonjwa wa kawaida wanahudumiwa majeruhi kwanza. Mazoezi sidhani yangesababisha majeruhi.
 
nimeongea na dereva wa presisheni ananiambia WANAFANYA MAZOEZI na timu nzima ya watu wa fire na accidents JUST IN CASE NDEGE IKIANGUKA!

so,
ni mazoezi tu!
huwa wanafanya haya mazoezi mara moja kwa mwaka!.....

invizibo hebu tuambie upo karibu na airport hamna HEKA HEKA?

Hapo kwenye nyekundu ulimaanisha dereva wa magari ama rubani?
 
Jamani wenye updates please nasikia kuna dege limeanguka mwanza mtupashe habari mlioko mwanza

Isije ikawa ikawa kati ya zile operation zao ati kuna ndege imeanguka na wana fanya ile kitu inaitwa drill testing ni jinsi gani wamejipanga kuokoa majeruhi.

Kama walivyo fanya Dodoma mwezi wa 6 mwaka huu na bahati mbaya wakaumbuka pale Office ya Mkuu wa mkoa kuungua hao Fire au magari ay zima moto kwani yalitokea kuokoa mali za Office ya mkuu huyo wa mkoa DODOMA sasa ndio hayo nayo dhania huko mwanza ndilo lililotokea sasa mtasikia kwa TBC1 njioni kumbe ni kujipa ukakamavu wa kulinda kura maaana kama ni kweli mie ningezipata faster hizo habari

Wewe mleta mada Key board yako haina space tab? Nilipata shida sana kwenye heading
 
Usitishwe na ukubwa wa Chombo. Rubani ni Dereva vilevile.

Wamejenga tu Kasumba ya kujiona wao ni MATAWI.

Kuna hadi zile ndege wanaziita TAXI. Unakuta imesimama, unalipa na kumwambia dereva ondoka.

Wewe unaweza kuwa umejificha nyuma na Kimwana, huyo dereva ajiitaye Rubani yuko kazini.

Tuendelee na habari Muhimu................

Hapo kwenye nyekundu ulimaanisha dereva wa magari ama rubani?
 
habarini za kwenu wanandugu,kuna mtu kantumia taarifa kuna ndege imeanguka mwanza
mwenye taarifa yoyote atujulishe watu wa mwanza,,kwa wanaanga kuna kitu emergencydrill
sasa sijui ndio hii ama israel kala vichwa kweli...watu wa mwanza tupen taarifa
 
Back
Top Bottom