Ndege ya serikali yatumika kumpeleka mama wa kwanza shopping dubai...!

unamaanisha Vicky Kamata????

Hawa tunawaita comfort girls wa ccm, sawa na wale waliotumiwa na askali wa Japan wakati wa WWII.

Tofauti ni kwamba hawa wa ccm wanafurahia kuwa hivyo, na wale wa Japan walichukia kuwa hivyo.
 
Wakuu habari yenu,
Ebwana kuna tetesi nimezisikia. Eti ndege ya serikali inatumika kumpeleka Mama Salma na familia yake Shopping Dubai na popote pale wanapotaka kwenda. Hii nimeisikia kutoka kwa mtu wa ndani sana pale airport...
Hii ni kweli?![/QUOTE]

Wakuu, huyu kasikia tetesi,, kauliza humu ndani jee ni kweli?? Wachangiaji karibu wote isipokuwa one Mallaba, hakuna aliyemjibu huyu ndugu kama ni kweli au si kweli ila tumeendeelea na mtindo ule uliozoeleka wa kuanza kuvurumusha matusi na kashfa na kuondoa ladha nzima ya mada yenyewe.
Ilikuwa rahisi sana kweli au si kweli,, na kama ni kweli tungetegemea huyo aliyesema kweli atupe details.
Jibu langu.....SIJUI.
 
Ndi gharama za kuendesha serikali, kuna wakati inabidi kodi za wananchi inabidi zilipie nyege za viongozi, uliza safari ya Slaa na Mushumbuzi marekani italipiwa na nani kama sio sisi wananchi.

@Nduka yaani tunalipia NYEGE za viongozi?
 
Ameanza tena? Mwaka 2006 alichukuwa ndege kwenda Mbabane, Swaziland (na kurudi) kushuhudia gwaride la visichana wenye matiti nje ambapo Mfalme Mswati III alikuwa anachagua mmoja kuwa mke wake.

Watu na makundi ya wanawake yalipiga kelele na ikawa kimya. Kaanza tena!
 
Hatutaki simulizi za Abunuasi hapa, lete ushahidi (facts) na si porojo za kupaka watu matope.
 
Kwa hivi sasa kwakweli nchi yetu inahitaji sana maombi kwani hali hivi sasa amani katika nchi yetu haipo kabisa kama ipo inaelekea kutoweka, kwani Tanzania tumempa nini Mungu hata tuwe tofauti sana na nchi zingine ambazo wanawatoa marais wao na kupigana?
 
Naaminisha Josephine Mushumbuzi girl friend wa Dr Wilbroad Slaa (padre aliyefukuzwa)

Kwanini tetesi tu zikufanye ujae jaziba kiasi hiki? Na kwanini unatoa taarifa zisizo kweli? nani kakwambia Dr. Slaa alifukuzwa upadri? Unatetea maslahi ya nani kwa jaziba hivi?
 
Wakuu habari yenu,
Ebwana kuna tetesi nimezisikia. Eti ndege ya serikali inatumika kumpeleka Mama Salma na familia yake Shopping Dubai na popote pale wanapotaka kwenda. Hii nimeisikia kutoka kwa mtu wa ndani sana pale airport...
Hii ni kweli?![/QUOTE]

Wakuu, huyu kasikia tetesi,, kauliza humu ndani jee ni kweli?? Wachangiaji karibu wote isipokuwa one Mallaba, hakuna aliyemjibu huyu ndugu kama ni kweli au si kweli ila tumeendeelea na mtindo ule uliozoeleka wa kuanza kuvurumusha matusi na kashfa na kuondoa ladha nzima ya mada yenyewe.
Ilikuwa rahisi sana kweli au si kweli,, na kama ni kweli tungetegemea huyo aliyesema kweli atupe details.
Jibu langu.....SIJUI.

kwa mujibu wa vyanzo sahihi vya habari, taarifa zilizopo zinaonyesha kuwa tetesi hii si ya kweli. Wasiliana na 'MAWASILIANO IKULU' kwa maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom