Ndege ya Qatar C17 iliyosafirisha twiga ilipata kibali

Taarifa inasema ndege ni ya Qatar, wakati picha inaonesha dege limeandikwa UAE Air Force, kumaanisha kuwa hiyo ni ndege ya United Arab Emirates, mbona sielewi hapa?
wa

Macho yako mabovu, mbona imeandikwa Qatar Emir Air Force. Nenda hospitali ya karibu au CCBRT ukapimwe macho, ni ushauri tu
 
Taarifa inasema ndege ni ya Qatar, wakati picha inaonesha dege limeandikwa UAE Air Force, kumaanisha kuwa hiyo ni ndege ya United Arab Emirates, mbona sielewi hapa?
Qatar Emir sio sawa na Arab Emirates, unless image ninayoiona sio iliyokuwepo awali

CC Candid Scope
 
Last edited by a moderator:
Taarifa inasema ndege ni ya Qatar, wakati picha inaonesha dege limeandikwa UAE Air Force, kumaanisha kuwa hiyo ni ndege ya United Arab Emirates, mbona sielewi hapa?
hapo ni ndege gani imeandikwa UAE Air Force? Em soma tena.
images
images
 
ujinga wa kitanzania! pale kia kuna watu wa usalama wa kutosha,pili ndege hiyo ni ya kijeshi lazima wanjua sb iliyoileta,TWIGA WALISHAIBWA SASA NINI?
 
Kikwete anajua watamuhifadhi kama walivyomuhifadhi dictator mwenziwe ,Idd Amini hawezi toa shukrani za bure kwa jinsi alivyoibia nchi anajua januari 2016 maskani ni Doha Qatar akijkubusha kuangalia Twiga wa Tanganyika
 
hivi wewe mbwa huwezi kuandika kitu bila kuhusisha na imani za watu? sioni popote hii mada ikizungumzia sehemu za ibada za watu zaidi ya utoroshwaji wa wanyamapori, ama kweli wewe ni mbwa.

Unawatukana wenzio kwamba wanaenda shule kujifunza ujinga. Wewe huwa unaenda msikitini kuchukua shahada za matusi?
 
Mimi naona mbwa ni kiumbe rafiki wa binadamu, anafundishwa anaelewa na anafuata kanuni za maisha. Pamoja na hayo, hiyo dini yako inakufundisha kuna mbwa wanaandika kwenye mitandao? Tena wewe imani yako ndiyo ya shetwani haswa ambako unajifunza ujinga na matusi kwa mpigo!. Pole sana. Unashahada ngapi za uzamivu katiak matusi with specialization in ignorance?

Niliyekuwa nawasiliana naye, alifahamu tulikoanzia na tukaishia je. Wala yeye hakulichukulia kama ni suala la imani. Lakini wewe mwenye shahada za juu kwenye imani ya matusi, na kuspecialize kwenye ignorance, umekuja na gear yako. Endelea na taaluma yako. Najua ina relevance kubwa sana kwenye mental health development and sustainability na kupunguza life span ili uwahi kule ulikoahidiwa neema tele baada ya kufa.

Safari njema mtaalam wa matusi na ujinga. Wasalimie shetani, majini na mabikira unaotaka kuwawahi.


hivi wewe mbwa huwezi kuandika kitu bila kuhusisha na imani za watu? sioni popote hii mada ikizungumzia sehemu za ibada za watu zaidi ya utoroshwaji wa wanyamapori, ama kweli wewe ni mbwa.
 
Kama ushahidi uliotolewa ndivyo ulivyo na kama hakuna kujipinga huko mbeleni ni wazi hii ni sehemu ya sera maarufu ya "diplomasia ya uchumi" ambayo inatumiwa na CCM katika mahusiano yetu na nchi za nje.
 
Kesi ya jangili tunaendesha miaka mitatu,ukipiga hesabu ya thamani ya hao wanyama na mwenendo wa kesi mpaka kupata ushahidi imezidi hata hiyo gharama,mwisho wa siku tunakutana nao barabarani
 
Nchi ya ajabu kweli hii, kama hakuna waziri yeyote aliyewajibishwa kwa fedheha hii, yanayoendelea yote ni maigizo.
 
Umesoma kuwa huyo ni shahidi kaitwa mahakamani, ili aeleze kwanini ndege ya Kijeshi ya nchi nyingine imeingia na kutuwa Tanzania, jeshi lilikuwa wapi? ndiyo anatoa ushahidi wake.

Hivi hizi shule huwa mnaenda kujifunza ujinga?

Kweli dada. Hizi shule za watoto wa siku hizi balaa kweli! kuna dada mmoja wakati tunajadili wizi wa pesa BoT akasema eti hizo pesa ni za wafanyabiashara, nikamuuliza tangu lini BoT imeanza kutunza pesa za wafanyabiashara? akapotea. Wapo wengi tu waliosoma lakini bado wajingajinga tu.
 
Picha za ndege hiyo hii hapa nakumbuka nilikuwa natua nikajiuliza mbona hii ndege ya kivita iko hapa kulikoni? ila kulikuwa na malori makubwa tuu yapo nayo niliyaona na kulikuwa na usalama mkubwa sana Kilimanjaro International Airport siku hiyo ndege hii ni U.A.E Air Force
 

Attachments

  • IMG-20110929-00212.jpg
    IMG-20110929-00212.jpg
    387.2 KB · Views: 77
  • IMG-20110929-00213.jpg
    IMG-20110929-00213.jpg
    140.2 KB · Views: 78
  • IMG-20110929-00214.jpg
    IMG-20110929-00214.jpg
    131.2 KB · Views: 77
  • IMG-20110929-00215.jpg
    IMG-20110929-00215.jpg
    141.6 KB · Views: 66
images
images
Ndege kubwa ya jeshi la Qatar ambayo inasemekana kutumika kutorosha wanyamapori 152 wakiwa hai, ilipata vibali vyote vya kutumia anga la Tanzania.

Pia ndege hiyo, aina ya C17 yenye namba za usajili MAA/MAB, iliomba kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa shughuli za kidiplomasia.

Hayo yalielezwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini hapa na shahidi wa 26 upande wa mashtaka, Kanali Nathaniel Paulo Msemwa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kitengo cha Operesheni na Mafunzo.

Miongoni mwa wanyamapori waliobebwa na ndege hiyo ni twiga wanne wenye thamani ya Sh170.5 milioni waliosafirishwa kwenda Arabuni.

Akitoa ushahidi wake kwa kuongozwa na wakili mwandamizi wa Serikali, Evetha Mushi, Kanali Msemwa alisema Novemba 11, 2010 alipokea nyaraka tatu zinazohusu vibali vya ndege hiyo kutumia anga la Tanzania.

Moja ya nyaraka hizo ni maombi yaliyopokelewa kwa fax na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kutoka ubalozi wa Qatar uliopo Sanaa, Mashariki ya Kati.

“Hiyo barua iliyokuwa na neno urgent (haraka) ilikuwa inaomba kibali kwa ajili ya ndege hiyo na tayari ilikuwa imeridhiwa na kamishina wa Wizara ya Mambo ya Nje,” alisema Kanali Msemwa.

Kibali hicho chenye namba MMJ/2145/0018/Nov10 kilichopokelewa mahakamani kama kielelezo kinaonyesha ndege hiyo ingetua KIA Novemba 24, 2010 na kuondoka kuelekea Qatar Novemba 26, mwaka huo. Kanali Msemwa alisema vibali hivyo vilipelekwa kwao (JWTZ) kwa sababu ya usalama wa nchi na usalama wa ndege yenyewe kwa vile ilikuwa ni ya kijeshi, ingawa ilikuwa katika kazi ya kidiplomasia.

Alieleza kwamba wakati ndege hiyo ikiwa KIA, ilikuwa chini ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) na jeshi liliwajibika tu wakati ndege hiyo ikiwa katika anga la Tanzania.

Shahidi wa 27, Inspekta Filicheshi Mlabule kutoka Idara ya Upelezi ya Polisi, alisema kabla ya upelelezi, mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori, Paul Sarakikiya alisema upelelezi wa awali ulionyesha kuwa wanyama hao walisafirishwa bila kibali.

Chanzo: Mwananchi

kuna wimbo mmoja wa mahadhi ya hip hop aliimba Solo Thang kuhusu Tanzania,mnaukumbuka?
 
Kwa hiyo kuwaita wenzio ni manyag'au ni neno la kawaida tu kwako? Kumbe sijakosea, una hazima kubwa ya matusi.

Mchana mwema.

Hilo neno mara ya kwanza nimelisikia likitoka kinywani mwa Nyerere kuwaita Wakenya, sidhani kama "Mwalimu", Mheshimiwa, saint to be, anaweza wafundisha Watanzania matusi kuwatukana Wakenya. Hilo siamini mpaka unambie na unipe ushahidi kuwa Nyerere aliwatukana Wakenya kwa kuwaita Manyang'au.
 
ippmedia
SimbaJK-Bush.jpg

Rais Jakaya Kikwete na mkewe Salma, wakitembelea maktaba ya Rais mstafu Bush na kujionea zawadi ambazo Rais Bush alizipata kutoka Tanzania katika ziara yake wakati akiwa Rais wa Marekani. Rais Kikwete na mkewe walifanya ziara hiyo jana nchini Marekani. (Picha: Ikulu)
SimbaJK-Bush.jpg
SimbaJK-Bush.jpg
 
Back
Top Bottom